Salum Mwalimu: Mimi mwenyewe ni msafi na chama changu ni kisafi

Salum Mwalimu: Mimi mwenyewe ni msafi na chama changu ni kisafi

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Huyu baba leo kajua kujisafisha msikilizeni hapo anavyojipakulia minyama

Salum Mwalimu anasema yeye ni msafi na chama chake CHAUMMA ni kisafi


 
Tushaambiwa na Polepole nyie na ACT ni vyama kazi maalum - hamna lolote mnalolipigania zaidi ya kugawiwa majimbo ili mpate ruzuku muweze kuishi.

Salum ww unaweza mshinda nani hata kama.mazingita yangekuwa sawa kwa sawa.
 
Wakuu,

Huyu baba leo kajua kujisafisha msikilizeni hapo anavyojipakulia minyama

Salum Mwalimu anasema yeye ni msafi na chama chake CHAUMMA ni kisafi


Aseme
Pesa ya kununua magari amepata wapi? Ya chama
Ofisi za chama ziko wapi?
Pesa za kulipa mishahara zinatoka wapi chama hakina ruzuku?
Pesa za kampeni zitatoa wapi???
 
Hawa wahuni wameharibu brand ya CHAUMMA. CHAUMMA ya Mzee Hashim Rungwe ilikuwa inaaminika sio hii ya matapeli waliokumbia aibu CHADEMA.
 
Back
Top Bottom