GE2025 Salum Mwalimu: Mimi na Ado ni wabunge kwenye bunge lijalo

GE2025 Salum Mwalimu: Mimi na Ado ni wabunge kwenye bunge lijalo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
"Nitakuja Tunduru kufanya Mkutano na Mkutano wangu wa Tunduru nitatamani niambatane na Katibu Mkuu mwenzangu, Kaka yangu Ado Shaibu tuje tungurume hapa.

Leo ilikuwa nije naye, yule ndio pacha wangu, yeye akicheza 11 mimi namba saba na tumekubaliana mwaka huu Mimi na Ado Shaibu kiwake kisiwake, inyeshe isinyeshe, mimi na Shaibu tuende Bungeni tukawasemehe Watanzania shida zao.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nitarudi tutafanya mkutano, nitazungumza na nyie, nitamwaga sera zangu lakini niwaambie biashara za Chama Cha Mapinduzi lazima tuachane nazo na mimi nimewaambia CCM hii ngoma hii ni kama ile fainali ya PSG ns Chelsea. Safari hii kama mtu anataka kubet CCM, mkeka utachanika"- Salum Mwalimu, Katibu Mkuu wa CHAUMMA akizungumza na wananchi Jimbo la Tunduru Kusini Mkoani Ruvuma leo Julai 16, 2025.

 
Back
Top Bottom