GE2025 Salum Mwalimu: Nikipata Urais nitafanya mabadiliko ya Katiba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Mgombea Urais kupitia Chama cha maendeleo kwa Umma (CHAUMA) Salum Mwalim amesema kuwa Kama akipata ridhaa ya kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha anafanya mabadiliko ya Katiba ya nchi Pamoja na mifumo ya kisheria.

Mwalimu ameyasema hayo mara baada ya kuchukua fomu ya kugombea uraisi ambapo amesema kuwa sababu ya Tanzania kushindwa kufanya mabadiliko kwa muda mrefu ni kutokana na viongozi waliyopewa dhaman ya kuiongoza nchi kwa muda mrefu kuwa na mitazamo inayowafunga kutoa maamuzi.

Nani atamchagua Salum mwalimu? Kwanza mtu mzinzi tokea linia kafanikiwa kwenye uongozi? Chauma ubwabwa ni chama mchepukaji wa ccm hakuna wapiga kura watawapa kura chaumaccm
 
Futuhi kadanganyaneni na chama Cha mambuzi haya kachukueni mgawo
 
Nani atamchagua Salum mwalimu? Kwanza mtu mzinzi tokea linia kafanikiwa kwenye uongozi? Chauma ubwabwa ni chama mchepukaji wa ccm hakuna wapiga kura watawapa kura chaumaccm
Amekuwa mbaya baada ya kuhama chadema au?
 
Chama kazi maalumu. Huyo minja wako kashafumaniwa dodoma na mme wake.
 
Back
Top Bottom