GE2025 Salum Mwalimu: Nikiwa Rais, nitavaa kapelo, Tisheti na Jeans Mtaa kwa mtaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kweli u-Rais sasa limekuwa jambo rahisi...!!
Yupo mwingine sera yake ni kuondosha vitanda vya 6 kwa 6 majumbani...!
Huwa nasikitika nakuona aibu kama nchi jirani wanaona hizi sera za wagombea wetu
 
Safi sana Mwalimu kula yangu utapata kwa kuwa hamfanyi siasa za kukinukisha
 
Haya bwana,kama ndiyo sera ya Chauma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…