PostGE2025 Salum Mwalimu: Nilitumia milioni 400 kwenye kampeni za Urais uchaguzi mkuu 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwenye kampeni chama kilitumia milioni 400

Tumetumia kama shilingi milioni 400 hivi".

"Tulilazimika kutumia njia nyingine nyingi za kufuata fedha. Pengine tulitamani kutumia zaidi ya kiasi hicho brother lakini hatukuzipata".

"mchakato wa ukaguzi wa mahesabu ya mwaka 2024 2025/226 pengine bila shaka utaanza" ili kuleta uwazi.

Soma Pia: Salum Mwalimu: Tuna madeni takriban milioni 100 yanayotokana na uchaguzi yakiwemo ya bendera na T-shirt

Na hizo hela zilitoka kwa Sultan Mbowe ni sehemu kiduuchu ya chenji iliyobaki katika ile b12 aliyopewa ya kuzuia Lissu asiwe mwenyekiti wa Chadema, mwamba alitumia m300 tu b11.7 ikalala kwake.
 
Hii ni takataka tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwenye kampeni chama kilitumia milioni 400

Tumetumia kama shilingi milioni 400 hivi".

"Tulilazimika kutumia njia nyingine nyingi za kufuata fedha. Pengine tulitamani kutumia zaidi ya kiasi hicho brother lakini hatukuzipata".

"mchakato wa ukaguzi wa mahesabu ya mwaka 2024 2025/226 pengine bila shaka utaanza" ili kuleta uwazi.

Soma Pia: Salum Mwalimu: Tuna madeni takriban milioni 100 yanayotokana na uchaguzi yakiwemo ya bendera na T-shirt

Je, mwandishi alifanikiwa kumuuliza alikozipata hizo milioni 400 yeye na mamluki wenzake? Na ilikuwaje akabakia na gari alilohongwa na tume feki ya uchaguzi hata baada ya kampeni kutamatika?
 
Back
Top Bottom