Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Na hizo hela zilitoka kwa Sultan Mbowe ni sehemu kiduuchu ya chenji iliyobaki katika ile b12 aliyopewa ya kuzuia Lissu asiwe mwenyekiti wa Chadema, mwamba alitumia m300 tu b11.7 ikalala kwake.Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwenye kampeni chama kilitumia milioni 400
Hiyo ilikuwa project ya CCMChama kidogo, matumizi makubwa, hiyo investment ilikuwa na tija gani kwa wanachama ?
Ina make sense hakika.Hiyo ilikuwa project ya CCM
Wakati ule CCM inawapet pet ili iwahalalishie uchafuzi wao baada ya kujisimika madarakani hawana habari nao tena wanawaacha watoane ngeu.Walianza kwa mbwembwe Hawa watu na Ile helicopter
Je, mwandishi alifanikiwa kumuuliza alikozipata hizo milioni 400 yeye na mamluki wenzake? Na ilikuwaje akabakia na gari alilohongwa na tume feki ya uchaguzi hata baada ya kampeni kutamatika?Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwenye kampeni chama kilitumia milioni 400
Tumetumia kama shilingi milioni 400 hivi".
"Tulilazimika kutumia njia nyingine nyingi za kufuata fedha. Pengine tulitamani kutumia zaidi ya kiasi hicho brother lakini hatukuzipata".
"mchakato wa ukaguzi wa mahesabu ya mwaka 2024 2025/226 pengine bila shaka utaanza" ili kuleta uwazi.
Soma Pia: Salum Mwalimu: Tuna madeni takriban milioni 100 yanayotokana na uchaguzi yakiwemo ya bendera na T-shirt
As usual, ccm use and dump themHiyo ilikuwa project ya CCM