PostGE2025 Salum Mwalimu: Serikali ipo, CCM ina dhamira ya maridhiano, tupunguze kelele mtandaoni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776

Akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Septemba 08, 2026, mwanachama wa chama cha CHAUMMA na Katibu wa zamani wa chama hicho, Salum Mwalimu ametoa wito kwa wadau Tanzania bara kufuata mfano wa maridhiano yanayoendelea Zanzibar, akisisitiza CCM na serikali ina utashi.

"Kuna fursa adhimu ipo, ambao pengine ndio hatua inayotakiwa kwenda sasa, ya watu kukaa na kuzungumza na kutengeneza framework, ambayo tayari Zanzibar tumeoneshwa mfano wake. Kwa hiyo kama ile hatua ambayo wamekwenda nayo Zanzibar, na sisi tukapunguza kelele, hasa za mitandaoni, tukajikita kwenda kutafuta tiba, inawezekana," amesisitiza Mwalimu.

"Utashi upo, mimi ninaamini yanayoendelea Zanzibar yanakihusisha Chama cha Mapinduzi. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ni mmoja, na leo tunaona uwakilishi mpana wa Chama Cha Mapinduzi ukidhihirisha nia na dhamira aliyonayo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Serikali ni hiyo hiyo moja, ipo, na ukweli ipo na inatambulika, inaendelea kufanya kazi. Tutaendelea kuvutana, mambo yanakwenda."
 
Kutafuta tiba ya nini/kitu gani?? Maridhiano ya nini/kitu gani?
 
WEWE WA UFUKWENI BWEGE SANA.

1.UNATULETEA UZI WA LIVE MAHAKAMANI NA HULETI UPDATE.

2. KUMBE HAUPO MAHAKAMANI UPO CHUMBANI KWA SHEMEJI YAKO.

BWEGE SANA WWWE FAMBA
 
Kwani bado kuna watu wanasikiliza na kuzingatia anacho ongea huyo jamaa
 
Akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Septemba 08, 2026, mwanachama wa chama cha CHAUMMA na Katibu wa zamani wa chama hicho, Salum Mwalimu ametoa wito kwa wadau Tanzania bara kufuata mfano wa maridhiano yanayoendelea Zanzibar, akisisitiza CCM na serikali ina utashi.

"Kuna fursa adhimu ipo, ambao pengine ndio hatua inayotakiwa kwenda sasa, ya watu kukaa na kuzungumza na kutengeneza framework, ambayo tayari Zanzibar tumeoneshwa mfano wake. Kwa hiyo kama ile hatua ambayo wamekwenda nayo Zanzibar, na sisi tukapunguza kelele, hasa za mitandaoni, tukajikita kwenda kutafuta tiba, inawezekana," amesisitiza Mwalimu.

"Utashi upo, mimi ninaamini yanayoendelea Zanzibar yanakihusisha Chama cha Mapinduzi. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ni mmoja, na leo tunaona uwakilishi mpana wa Chama Cha Mapinduzi ukidhihirisha nia na dhamira aliyonayo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Serikali ni hiyo hiyo moja, ipo, na ukweli ipo na inatambulika, inaendelea kufanya kazi. Tutaendelea kuvutana, mambo yanakwenda."
Security Solution (365securitysol) - Profile _ Pin.jpeg
 
Pamoja na tofauti zao wazenji wanajua kushikamana.
 
Akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Septemba 08, 2026, mwanachama wa chama cha CHAUMMA na Katibu wa zamani wa chama hicho, Salum Mwalimu ametoa wito kwa wadau Tanzania bara kufuata mfano wa maridhiano yanayoendelea Zanzibar, akisisitiza CCM na serikali ina utashi.

"Kuna fursa adhimu ipo, ambao pengine ndio hatua inayotakiwa kwenda sasa, ya watu kukaa na kuzungumza na kutengeneza framework, ambayo tayari Zanzibar tumeoneshwa mfano wake. Kwa hiyo kama ile hatua ambayo wamekwenda nayo Zanzibar, na sisi tukapunguza kelele, hasa za mitandaoni, tukajikita kwenda kutafuta tiba, inawezekana," amesisitiza Mwalimu.

"Utashi upo, mimi ninaamini yanayoendelea Zanzibar yanakihusisha Chama cha Mapinduzi. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ni mmoja, na leo tunaona uwakilishi mpana wa Chama Cha Mapinduzi ukidhihirisha nia na dhamira aliyonayo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Serikali ni hiyo hiyo moja, ipo, na ukweli ipo na inatambulika, inaendelea kufanya kazi. Tutaendelea kuvutana, mambo yanakwenda."
Ndio maana tulimfukuza CHAUMMA
 
Huyu si alikuwa mgombea urais? Alikubali uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, .. .

Sasa anataka tiba ya nini tena?

Mwambie ale hela polepole.....
 
Back
Top Bottom