GE2025 Salum Mwalimu: Sijui tulimkosea nini Mungu kama Taifa akutupa CCM, ndio chanzo cha umaskini

GE2025 Salum Mwalimu: Sijui tulimkosea nini Mungu kama Taifa akutupa CCM, ndio chanzo cha umaskini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Mgombea Urais wa Muungano kupitia CHAUMMA, Salum Mwalimu akizungumza Kasulu mkoani Kigoma amesema kuwa pamoja na Tanzania kujaaliwa rasilimali nyingi za asili bado Serikali iliyopo madarakani imeshindwa kubadilisha hali za wananchi.

 
Nje ya mada .. hv na hch kipindi cha VPN bado mods wanaweza nipa ban?...
 
Nje ya mada .. hv na hch kipindi cha VPN bado mods wanaweza nipa ban?...
We utawala wa manyani humu siku hizi aisee kuna jamaa kanipiga mitusi mizito zito huyo na bado anatamba tangu juzi sasa hapa niko na black matusi dictionary langu kubwaaa

Mtoto wa miaka saba habebi nikimrudia huyu kenge atajipa ban mwenyewe humu
 
Back
Top Bottom