Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Kuna uzi mods walikuwa wanafuta comments zangu, hvy labla wanaweza kutoa banNje ya mada .. hv na hch kipindi cha VPN bado mods wanaweza nipa ban?...
Hapana! JF imefungwa nchini Tanzania.Nje ya mada .. hv na hch kipindi cha VPN bado mods wanaweza nipa ban?...
We utawala wa manyani humu siku hizi aisee kuna jamaa kanipiga mitusi mizito zito huyo na bado anatamba tangu juzi sasa hapa niko na black matusi dictionary langu kubwaaaNje ya mada .. hv na hch kipindi cha VPN bado mods wanaweza nipa ban?...