Salum Mwalimu: Wazee wameanza kuogopa kuongea, mambo yameanza kubadilika

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Salum Mwalimu aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHAUMMA, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa chini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), amesema kuna changamoto ya kuchagua ukweli jambo linaowafanya Wazee kuogopa kuzungumza huku akiwataja Profesa Anna Tibaijuka na Jenerali Ulimwengu.

​
Nukuu ya Maandishi alichosema Salum Mwalimu

"Kwa sababu kama tunazungumza ukweli, tumekuwa na changamoto hii. And I'm sorry, this is my honest opinion, Kutoka ndani kabisa ya moyo wangu, nikihukumiwa, nikilaumiwa, sawa.

Tuna tabia ya kuchagua ukweli. Kwamba ukweli huu usemwe, ukweli huu usiseme. Na ndio maana jana kwa masikitiko makubwa mimi nimesikitika, sijui wenzangu—aliposimama Profesa Mama Tibaijuka akasema tunaanza kuogopa ogopa hivi kusema.

Mzee wangu Lwaitama naye alipopewa kuzungumza, naye kama akazungumza kidogo sana. Sasa unaanza kuona, ni kwa sababu inawezekana kuna narrative watu wanaiona, na wanaona kabisa sasa narrative hii inaweza ikatupeleka wazee wameanza kuizungumza. Kuna watu wale katika kundi la tatu ambao Makamu amezungumza, Mheshimiwa Othman hapa, wasiopenda kuona mambo yanakwenda. Sasa na wazee nao wameanza kuingia na hofu, kuanza kuzungumza.

Lakini unaona kuna narrative inaanza kubadilika sasa. Na tukifanya mchezo, muda utaisha, tutaanza kulalamika kama tulivyolalamika tukakosa Katiba mwaka 2014, ukawa wakati utatoka. Tungeweza kupata nusu, nusu tukakosa. Leo tungekuwa tunazungumza nusu nyingine na sio kizima. "
 
Na bado utaongea mengi sana aisee CCM wanapenda zaidi kusifiwa kuliko kukosolewa
 
Salum Mwalimu aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHAUMMA, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa chini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), amesema kuna changamoto ya kuchagua ukweli jambo linaowafanya Wazee kuogopa kuzungumza huku akiwataja Profesa Anna Tibaijuka na Jenerali Ulimwengu.

Nyuma yake namuona Chatanda, akitoka hapo anaitisha press conference kusema naishauri serikali mwalimu akamatwe anazua taaluki.
 
Salum Mwalimu aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHAUMMA, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa chini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), amesema kuna changamoto ya kuchagua ukweli jambo linaowafanya Wazee kuogopa kuzungumza huku akiwataja Profesa Anna Tibaijuka na Jenerali Ulimwengu.

Nukuu ya Maandishi alichosema Salum Mwalimu

"Kwa sababu kama tunazungumza ukweli, tumekuwa na changamoto hii. And I'm sorry, this is my honest opinion, Kutoka ndani kabisa ya moyo wangu, nikihukumiwa, nikilaumiwa, sawa.

Tuna tabia ya kuchagua ukweli. Kwamba ukweli huu usemwe, ukweli huu usiseme. Na ndio maana jana kwa masikitiko makubwa mimi nimesikitika, sijui wenzangu—aliposimama Profesa Mama Tibaijuka akasema tunaanza kuogopa ogopa hivi kusema.

Mzee wangu Lwaitama naye alipopewa kuzungumza, naye kama akazungumza kidogo sana. Sasa unaanza kuona, ni kwa sababu inawezekana kuna narrative watu wanaiona, na wanaona kabisa sasa narrative hii inaweza ikatupeleka wazee wameanza kuizungumza. Kuna watu wale katika kundi la tatu ambao Makamu amezungumza, Mheshimiwa Othman hapa, wasiopenda kuona mambo yanakwenda. Sasa na wazee nao wameanza kuingia na hofu, kuanza kuzungumza.

Lakini unaona kuna narrative inaanza kubadilika sasa. Na tukifanya mchezo, muda utaisha, tutaanza kulalamika kama tulivyolalamika tukakosa Katiba mwaka 2014, ukawa wakati utatoka. Tungeweza kupata nusu, nusu tukakosa. Leo tungekuwa tunazungumza nusu nyingine na sio kizima. "
Screenshot_20250823-084911~2.png
 
Back
Top Bottom