TANZIA Salum Shamte wa Katani Ltd afariki dunia

RIP Salum Shamte. Yanatokea haya kwenye nchi ambayo haijali utwala wa sheria. Katiba imetamka wazi wazi kuwa mshtakiwa yeyote asichukuliwe kuwa ana hatia mpaka Mahakama itakapothibitisha.

Huyu Salum Shamte alituhumiwa, akapewa mashtaka yasiyo na dhamana. Afya yake haikuwa nzuri na amekosa huduma za matibabu akiwa rumande.
 
Achiaga hasila muzee
You're the Maker of your own destiny
 
Innalillah Wainaillayhi Rajiun.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…