johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kafa lini?kwani Mo Dewji sio mzawa? au unamaanisha rangi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafa lini?kwani Mo Dewji sio mzawa? au unamaanisha rangi?
Aliyekamatwa na ngozi, ndiye amekula nyamaLowasa serikali aliifanya nn mpaka leo wezake wanaondoka kwa ufisadi yeye anadunda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata wao wanakufa, nikajua wataishi milele! Kamwe usimdhulumu mtu haki yake, usimuonee, usimsengenye maana sisi wote tu mavumbi na mavumbini tutarejea.Elli njoo hapa boss kubwa
RIP Salum Shamte. Yanatokea haya kwenye nchi ambayo haijali utwala wa sheria. Katiba imetamka wazi wazi kuwa mshtakiwa yeyote asichukuliwe kuwa ana hatia mpaka Mahakama itakapothibitisha.View attachment 1403700
Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu.
Oktoba 31, 2019, Salum Shamte pamoja na wenzake akiwemo Juma Shamte ambaye ndiye Mkurugenzi wa sasa wa Katani Limited na mjumbe wa bodi, Fatma Diwani walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga wakikabiliwa na mashtaka matatu.
Walikuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kusababisha hasara ya Sh1.14 bilioni kwa vyama vya msingi vya ushirika (Amcos).
Mapema mwezi Machi 2020, Waziri Mkuu alipokea ripoti iliyozidi kumweka pabaya Shamte (kimsingi ripoti pia inamweka pabaya zaidi Dr. Dau aliyekuwa NSSF); isome hapa chini:
Ongeza na RugeLile kundi la Wafanyabiashara wazawa linazidi kuyoyoma.......Mengi, Mafuruki, Idd Simba na sasa Shamte.
Ruge hakuwa mfanyabiashara bali aliajiriwa na Kusaga!
Ruge hakuwa mfanyabiashara bali aliajiriwa na Kusaga!
Nenda mwanakwenda Shamte. Ulimdhulumu sana Uncle wangu, akawa demoted, wewe na akina Marehemu Ibrahim Kaduna, mkamfanya aishi maisha magumu na ya stress sana. Mkadhulumu haki miliki za tafiti zake, aligundua jinsi ya kutengeneza pombe kwa kutumia maji ya mkonge, chakula cha kuku kwa kutumia mabaki ya mkonge na umeme kwa kutumia maji maji ya mkonge.
aliandika vitabu kuhusu mkonge lakini hakufaidika navyo. Alinieleza haya 2007 na mwaka huo huo akapata stroke, nilimuuguza Tanga, mkashindwa kumlipia hata Ambulance kutoka Tanga to Muhimbili.
nilipowatafuta kwa ajili ya matibabu yake mkaishia kunipa Tzs 50,000. Mzee Shamte unakumbuka siku ile uliniita pale fire? Ukampa dereva bahasha yenye hio pesa?
Baadae ali-recover bado mkagoma kumlipia bill, na MKUMBUKE alistahili sio kwamba ilikua fadhila.
Siku moja jioni ya 12 tukiwa tumerudi kutoka kwenye mazoezi ya viungo pale Morocco Physiotherapy clinic, STARTV wakawa wanaonyesha kipindi cha mkonge na walionyesha hizo products ambazo huyu mzee wangu ndio alikua amwzifanya yeye ila zilitangazwa kama vile ni kazi iliyofanywa na mtoto wa Shamte. Kwakuwa nilikua nine Shaun vanish a dots, nikachukua remote nikataka kubadili Chanel, ananiambia nisiondoe.
Next day akiwa kwenye mazoezi napata second stroke na ndio ikawa mwisho wake. Akina Shamte bado walishindwa hata kumsafirisha.
sina nia mbaya, kifo ni kifo but kwa kusema haya naamini nimemtendea haki Marehemu Mentor wangu. He was a true friend of Mine.
Kaa kimya, taarifa zako ninazo! Pole kwa yote.Achiaga hasila muzee
You're the Maker of your own destiny
Sio kwa sababu ya matendo yao maovu kwa wanyonge?R.I.P Salum Shamte.
Awamu hii watu wengi sana wana rest in peace kwa sababu ya aina ya Utawala ....!
Innalillah Wainaillayhi Rajiun.View attachment 1403700
Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu.
Oktoba 31, 2019, Salum Shamte pamoja na wenzake akiwemo Juma Shamte ambaye ndiye Mkurugenzi wa sasa wa Katani Limited na mjumbe wa bodi, Fatma Diwani walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga wakikabiliwa na mashtaka matatu.
Walikuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kusababisha hasara ya Sh1.14 bilioni kwa vyama vya msingi vya ushirika (Amcos).
Mapema mwezi Machi 2020, Waziri Mkuu alipokea ripoti iliyozidi kumweka pabaya Shamte (kimsingi ripoti pia inamweka pabaya zaidi Dr. Dau aliyekuwa NSSF); isome hapa chini:
Kwani umesha mhukumu kwenye Mahakama yako? Mbona mze wa watu yuko coolLowasa serikali aliifanya nn mpaka leo wezake wanaondoka kwa ufisadi yeye anadunda
Sent using Jamii Forums mobile app
Lile kundi la Wafanyabiashara wazawa linazidi kuyoyoma.......Mengi, Mafuruki, Idd Simba na sasa Shamte.
Ndo nn mkuu! Au umemtukana marehemu