TANZIA Salum Shamte wa Katani Ltd afariki dunia

Nagojea Taazia ya mzee mohamedsaidi.

Muislam bilionea amefariki lazima atie neno ,wapi alikutana nae iwe msikiti wa mtoro au pale tanga mjini

Na mchango wake katika uislamu

Apumzike anapostahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo?
 
Uncle G my best friend will rest in peace.. The best uncle ever.. I remember those last days... And that dreadful morning alipoanguka pale Morocco kwenye mazoezi...
Karma us BITCH... Uncle died with dignity but shamte died in shame.....

Jr[emoji769]
 
Shamte aliyeko gerezani kwa kesi ya uhujumu, utakatishaji na ukwepa kodi wa kampuni ya mawasiliano ana uhusiano gani na marehemu?

Au yule alishatoka (kesi ya kina Ringo Tenga) ??
 
Kama ni kweli icho usemacho basi na hao waliomuondoa kwenye iyo nafasi nao wakumbuke Qul nafsi dhalkatul mauti,Nao pia watakufa muda na saa waijuayo ni Israiri mtoa roho,
 
Serious? Who was Shamte, maana labda ameonewa au labda analipa alichofanya
 
Huyu ni wa mkonge Tanga
Shamte aliyeko gerezani kwa kesi ya uhujumu, utakatishaji na ukwepa kodi wa kampuni ya mawasiliano ana uhusiano gani na marehemu?

Au yule alishatoka (kesi ya kina Ringo Tenga) ??

Jr[emoji769]
 
Nagojea Taazia ya mzee mohamedsaidi.

Muislam bilionea amefariki lazima atie neno ,wapi alikutana nae iwe msikiti wa mtoro au pale tanga mjini

Na mchango wake katika uislamu

Apumzike anapostahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Ramadhan Dau lazima andike Tanzia. Wote walikuwa wapigaji tu wa mali za umma. Kama Binadamu mwenzangu pumzika kwa amani Mzee Shamte
 
Uncle G my best friend will rest in peace.. The best uncle ever.. I remember those last days... And that dreadful morning alipoanguka pale Morocco kwenye mazoezi...
Karma us BITCH... Uncle died with dignity but shamte died in shame.....

Jr[emoji769]
Naikumbuka vizuri sana ile siku! R.I.P Uncle
 
Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…