Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Mzigo wa kesi anaubeba mwanae wakwanza,hahahahaWanasheria tuambieni inakuaje kisheria mtu mwenye kesi anapofariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzigo wa kesi anaubeba mwanae wakwanza,hahahahaWanasheria tuambieni inakuaje kisheria mtu mwenye kesi anapofariki.
View attachment 1403700
Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu.
Oktoba 31, 2019, Salum Shamte pamoja na wenzake akiwemo Juma Shamte ambaye ndiye Mkurugenzi wa sasa wa Katani Limited na mjumbe wa bodi, Fatma Diwani walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga wakikabiliwa na mashtaka matatu.
Walikuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kusababisha hasara ya Sh1.14 bilioni kwa vyama vya msingi vya ushirika (Amcos).
Mapema mwezi Machi 2020, Waziri Mkuu alipokea ripoti iliyozidi kumweka pabaya Shamte (kimsingi ripoti pia inamweka pabaya zaidi Dr. Dau aliyekuwa NSSF); isome hapa chini:
Daah
Apumzike kwa amaniView attachment 1403700

PoleNenda mwanakwenda Shamte. Ulimdhulumu sana Uncle wangu, akawa demoted, wewe na akina Marehemu Ibrahim Kaduna, mkamfanya aishi maisha magumu na ya stress sana. Mkadhulumu haki miliki za tafiti zake, aligundua jinsi ya kutengeneza pombe kwa kutumia maji ya mkonge, chakula cha kuku kwa kutumia mabaki ya mkonge na umeme kwa kutumia maji maji ya mkonge.
aliandika vitabu kuhusu mkonge lakini hakufaidika navyo. Alinieleza haya 2007 na mwaka huo huo akapata stroke, nilimuuguza Tanga, mkashindwa kumlipia hata Ambulance kutoka Tanga to Muhimbili.
nilipowatafuta kwa ajili ya matibabu yake mkaishia kunipa Tzs 50,000. Mzee Shamte unakumbuka siku ile uliniita pale fire? Ukampa dereva bahasha yenye hio pesa?
Baadae ali-recover bado mkagoma kumlipia bill, na MKUMBUKE alistahili sio kwamba ilikua fadhila.
Siku moja jioni ya 12 tukiwa tumerudi kutoka kwenye mazoezi ya viungo pale Morocco Physiotherapy clinic, STARTV wakawa wanaonyesha kipindi cha mkonge na walionyesha hizo products ambazo huyu mzee wangu ndio alikua amwzifanya yeye ila zilitangazwa kama vile ni kazi iliyofanywa na mtoto wa Shamte. Kwakuwa nilikua nine Shaun vanish a dots, nikachukua remote nikataka kubadili Chanel, ananiambia nisiondoe.
Next day akiwa kwenye mazoezi napata second stroke na ndio ikawa mwisho wake. Akina Shamte bado walishindwa hata kumsafirisha.
sina nia mbaya, kifo ni kifo but kwa kusema haya naamini nimemtendea haki Marehemu Mentor wangu. He was a true friend of Mine.
Dau hawamweziView attachment 1403700
Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu.
Oktoba 31, 2019, Salum Shamte pamoja na wenzake akiwemo Juma Shamte ambaye ndiye Mkurugenzi wa sasa wa Katani Limited na mjumbe wa bodi, Fatma Diwani walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga wakikabiliwa na mashtaka matatu.
Walikuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kusababisha hasara ya Sh1.14 bilioni kwa vyama vya msingi vya ushirika (Amcos).
Mapema mwezi Machi 2020, Waziri Mkuu alipokea ripoti iliyozidi kumweka pabaya Shamte (kimsingi ripoti pia inamweka pabaya zaidi Dr. Dau aliyekuwa NSSF); isome hapa chini:
Poleni sana kwa yote.Nenda mwanakwenda Shamte. Ulimdhulumu sana Uncle wangu, akawa demoted, wewe na akina Marehemu Ibrahim Kaduna, mkamfanya aishi maisha magumu na ya stress sana. Mkadhulumu haki miliki za tafiti zake, aligundua jinsi ya kutengeneza pombe kwa kutumia maji ya mkonge, chakula cha kuku kwa kutumia mabaki ya mkonge na umeme kwa kutumia maji maji ya mkonge.
aliandika vitabu kuhusu mkonge lakini hakufaidika navyo. Alinieleza haya 2007 na mwaka huo huo akapata stroke, nilimuuguza Tanga, mkashindwa kumlipia hata Ambulance kutoka Tanga to Muhimbili.
nilipowatafuta kwa ajili ya matibabu yake mkaishia kunipa Tzs 50,000. Mzee Shamte unakumbuka siku ile uliniita pale fire? Ukampa dereva bahasha yenye hio pesa?
Baadae ali-recover bado mkagoma kumlipia bill, na MKUMBUKE alistahili sio kwamba ilikua fadhila.
Siku moja jioni ya 12 tukiwa tumerudi kutoka kwenye mazoezi ya viungo pale Morocco Physiotherapy clinic, STARTV wakawa wanaonyesha kipindi cha mkonge na walionyesha hizo products ambazo huyu mzee wangu ndio alikua amwzifanya yeye ila zilitangazwa kama vile ni kazi iliyofanywa na mtoto wa Shamte. Kwakuwa nilikua nine Shaun vanish a dots, nikachukua remote nikataka kubadili Chanel, ananiambia nisiondoe.
Next day akiwa kwenye mazoezi napata second stroke na ndio ikawa mwisho wake. Akina Shamte bado walishindwa hata kumsafirisha.
sina nia mbaya, kifo ni kifo but kwa kusema haya naamini nimemtendea haki Marehemu Mentor wangu. He was a true friend of Mine.
Pole sana mkuu... ndio tatizo kubwa in developing countries... matumbo yetu first priority... samehe lakini kwa sasa.Vitabu vya Kilimo cha Mkonge vingesaidia sana, tafiti zake zingesaidia sana lakini....OK nimesamehe!
Nimesamehe Ndugu, asante sana sanaPole sana mkuu... ndio tatizo kubwa in developing countries... matumbo yetu first priority... samehe lakini kwa sasa.
Tutaiba, tutadhulumu, tutafanya yooote, mwisho wa siku tunaondoka tukiwa watupu tunarudi Mbinguni kwa Mungu aliyetuumba.
Twendeni kwa tahadhari.
Pumzika Shamte!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujiweka tayari ndilo tatizo mkuu 'Kwemdimu'; hasa ikijulikana wazi kwamba "Mungu ndiye ajuaye hatma ya kila mmoja...."Mungu ndiye ajuaye hatima ya kila mmoja, tuishi tukifahamu kuna kuondoka. Tujiweke tayari.
Eeee!Tutaiba, tutadhulumu, tutafanya yooote, mwisho wa siku tunaondoka tukiwa watupu tunarudi Mbinguni kwa Mungu aliyetuumba.
Eeee!
Kama ni hivyo nami kesho naanza kazi: "nidhurumu, nifanye yoote" mazuri na mabaya mradi najua "nitarudi Mbinguni kwa Mungu."
Shida ipo wapi hapo?
Na mara nyingi 'kudhurumu na kufanya mabaya' hulipa haraka sana, kuliko kutegemea malipo kwa yale mazuri unayotenda.
Wanasheria tuambieni inakuaje kisheria mtu mwenye kesi anapofariki.