Salumu Kabunda NINJA: Yuko wapi siku hizi

Salumu Kabunda NINJA: Yuko wapi siku hizi

IFRS

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
2,915
Reaction score
5,233
Huyu mchezaji wa yanga wa zamani aliyewahi kucheza na akina lunyamila yuko wapi siku hizi.
 
Yupo MWANZA mkuu!!!
Nadhani mwanae analelewa kwenye kituo kimoja cha kukuza vipaji vya soka nchinu QATAR!!
 
Mbona nasikia ameshakufa mkuu

Nikweli inasemekana alishafariki..nakumbuka nilipata taarifa za kifo chake mwaka 2011 mwishoni.But sikupata uthibitisho bcoz kwanza sikua nchini kwa kipindi hicho.Binafsi huyu jamaa nilionana nae mara ya mwisho mwaka 2008-09 Mwanza na alikua AGENT wa kampuni1 hivi ya vinywaji.
Since then hatukupata kuonana.
Ngoja wadau watatupa taarifa zaidi!!!
 
Daaah.. Jamaa mbona alishafariki kitambo..! Alifariki siku ya ijumaa jioni ya tarehe 30 Sept, 2011..
 
Alifariki jamani,hata humu jf kuna uzi wake wakati alivyofariki
 
Mmmmmm jamani mbona juzi tu nimesikia akiwa anatuma msg clouds tokea Iringa?? Nadhani bado mzima Na anaishi Iringa!!
 
Back
Top Bottom