- Thread starter
- #81
Makanikia tena hhhhhhhhh kweli la kuvundaGongo wazi fc a.k.a makinikia fc
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makanikia tena hhhhhhhhh kweli la kuvundaGongo wazi fc a.k.a makinikia fc
Wazee huyo nani anayesaini?Hii ofisi utadhani chumba cha Mwalimu Mkuu. Yanga HQ?![]()
Angesajiliwa vyura angekuwa ni mwepesi. Uvuvi wa Ajibu hamjauona kisa amehamia bondeni?!
Kipa wa African Lyon, Youthe Rostand, timu ikiyoshuka daraja ndo amesajiliwa na YangaWazee huyo nani anayesaini?
hahaha
Wale wa kulalama, hapa watasema mbona kasainishwa huku akiwa wima
hahahaAngesajiliwa vyura angekuwa ni mwepesi. Uvuvi wa Ajibu hamjauona kisa amehamia bondeni?!
ohoooMkuu ukiwakumbushia Kichuya wanaanza matusi sasa hv
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
naona anawasaidia had mnaingia fainal ya azam cupAsingeweza kusajiliwa Kwa Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania...
Tuliona uwezo wake, tukaamua kubeba Andrew Vincent.
[emoji443] Kichuya kona![emoji30] [emoji446] [emoji443]ohooo
hahaha[emoji443] Kichuya kona![emoji30] [emoji446] [emoji443]
Cc;Mavoko
usijali mkuu hayo Ni madhara ya elimu yetu ya kukariri,tujadilini soka tusawa mkuu sina cheti unajingine
mkuu umemsahau na yule mliyemtoa toto?kushuka daraja siyo kigezo mkuu angalia uwezo WA mtu binafsiKipa wa African Lyon, Youthe Rostand, timu ikiyoshuka daraja ndo amesajiliwa na Yanga
Watu mna maneno daaaKipa wa African Lyon, Youthe Rostand, timu ikiyoshuka daraja ndo amesajiliwa na Yanga
Ushabiki wa kishamba huoIvi kwa nini simba wakisajiri yanga lazima wakosoe mbona huyo mchezaji kabla hajawa simba hamkusema kuwa ni mzee hamkusema kuwa mvivu daaa hii tabia sijui itaisha lini rooney kasaini evetoni mbona hakuna maneno mzee
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Dah Makinikia Fc mnaleta aibuKipa wa African Lyon, Youthe Rostand, timu ikiyoshuka daraja ndo amesajiliwa na Yanga
Kwa hiyo una maana na yeye ni mzee kuliko yondani au kishokaHuyu Mbonde kacheza Mtibwa miaka mingi ni shikamoo jazz
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mbona hukusema mpaka aliposajiliwa na simbaNdiye yeye na alifungisha goli stars vs Lesotho kwenye AFCON qualifiers uwanja wa Chamazi mwezi Juni,2017.Alilambwa chenga akaishia kushika kichwa
Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
JikoniHii ofisi utadhani chumba cha Mwalimu Mkuu. Yanga HQ?![]()