The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
"Siukimbilii urais kwa sababu nautamani kwa masilahi yangu, ila naisikia sauti ya Mungu, ikiniambia nenda kawasaidie watanzania wenzako na hiyo ndio inanipa ujasiri."
"Nchi hii imejaliwa kila aina ya neema, madini kila kona, bahari, mito na ardhi takatifu, nchi imejaliwa vivutio vya kila aina na rasilimali ya kila aina ambayo unatamani nchi iwe nayo, lakini bado ni masikini.
"Tanzania ina utajiri wa rasilimali ambao baadhi ya mataifa haiufikii hata robo lakini ni tajiri, hii haikubaliki."
Mgombea hiyo wa urais kupitia CHAUMMA, Salum Mwalimu amesema hayo Septemba 07, 2025 Mjini Babati, mkoani Manyara.