Gilbarto2026
New Member
- Mar 14, 2026
- 1
- 4
Never go to baba shop! Go to saluni written in KiswahiliKero yangu kwa saluni za Dar. Janja janja nyingi. Mtu unaenda kwa huduma ya kunyoa Tu na pesa kamili. Ukifika Mda wa kuosha kichwa, wadada Wana tabia ya kulazimisha uweke dawa ya m'ba huku wakijua fika unatozwa dawa na massage ya kichwa bila ridhaa yako. Inabidi ulipe zaidi bila kutarajia na kujipanga. Inakera.
Ahakikishe pameandikwa "TUNANYOA MITINDO YOTE"Never go to baba shop! Go to saluni written in Kiswahili
Ahakikishe pameandikwa "TUNANYOA MITINDO YOTE"
aende walipoandika kinyozi au wakubwa 1500 watoto 500 ama walipo andika hair cut🤣🤣🤣Never go to baba shop! Go to saluni written in Kiswahili
Nilienda salon ya kawaida hapa Sakina, natoa elf 10 wanarudisha elf 5 macho makavuu, ety kunyoa kichwa na ndevu BILA huduma ya ziada ndo bei zaoNever go to baba shop! Go to saluni written in Kiswahili