Saluni za kunyoa Sinza, hii sio namna ya kufanya biashara

Hili ni kwa Wamiliki wa Saloon za Wanaume Sinza, vijana na Mabinti wenu wanawaharibia Biashara, Mimi nilikuwa ninaishi Dar na nikaamia Arusha, na ninakuja Dar mara nyingi maana bado nina nyumba na mradi Dar!

Ninaamini ni mteja mzuri wa saloon kwa hiyo nikipenda saloon ijue imepata mteja mzuri and reliable, ila kwa kweli saloon za Dar na Arusha tofauti kubwa sana! Nimeingia Saloon Sinza, nimenyoa safi, baada ya kunyoa naingia kuoshwa, dada anaanza nivua shati.

Nikamwambia huyo Dada, ninaosha tu kichwa, akanambia utachafua shati, nikakubali, kilichofuata nakuta kaanza kufanya massage mgongoni, Nikamwambia, Miss I insist siitaji kufanya kitu zaidi ya kuosha, akanambia maji bado hayajapata joto, so huwezi kaa tu, nikamwambia, I am not asking for this!

Akaendelea kumassage mgongo, I was embarased, baada ya mda anataka kumassage tumboni, nikakataa kabisa, basi akaniosha, wakati natoka, nilikuwa nimenyoa nywele na ndevu so nina bill ya 8000, hili halina shida, but naambiwa nia: 18.000, kwa ajili ya ule usumbufu alionifanyia mgongni...

Nilichukia sana, sio hata sababu ya 10.000, but hii si namna ya kufanya biashara, hata kama twatafuta pesa ni lazima tuweke ustaarabu na kuheshimiana kwenye hizi saloon, nawashauri wamiliki watafute solid representative kwenye saloon zao ili kulinda haya....

bado ujajua ulicho nyoa bei unafata kunyoa nyege tu
 
Wengine hatuingii kabisa kuoshwa mule. Tunaenda oga nyumbani. Pale pa kulipa 3000 utakuta bili imefika 9000. Zaidi ni hayo mambo yao ya kuwashikashika watu. Nyoa uende utakuwa salama.
 
Alikuwa mwanachuo hiyo sijui 50, akalipie kichwa wapi na wapi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahah...ila wadada wa salon wanakera sana...hata kama ni kutafuta pesa..duuuh! Too much
 
Ukitaka wakupige jicho baya sindikiza mtu pale wananuna hao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nami nakunja ndita busy
na simu yangu akimaliza tu anawambia nasubiliwa hapo[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Sure Mimi pia nilifanyiwa hivyo Sinza Mori, nikadaiwa 30,000. Nilichukia sana kwa kweli, ni wizi mbaya sana.
 
Ukitaka wakupige jicho baya sindikiza mtu pale wananuna hao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nami nakunja ndita busy
na simu yangu akimaliza tu anawambia nasubiliwa hapo[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hahahaha..wajinga sana wale..na dawa yao ni kusindikiza tu wakinuna kimpango wao
 
Hahahahahahaha,umenifurahisha kwakweli
Yaani kwa akili yako unaona kunyoa kwa Tsh.8000/= ni ujanja!?? Halafu ukute watu km nyinyi hata kubeba ndizi tu za Tsh.2500/= kumpelekea mkeo na watoto hujawahi,lkn unajidai una hela za kunyoa kwa Tsh.8000/=. Me nanyoa kwa Tsh.1500/= kichwa na ndevu na watu hawajawahi kunishangaa barabarani..! Na sijawahi kutoka upele hata siku moja...! Wajinga ndiyo waliwao....
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuna siku naona mbaba katuli tuli anageuzwa geuzwa tu kama mihogo kwenye kaango
Duuuh!! Alafu mibaba ndio inaliwa vizuri tu na ukizingatia zile huduma adimu nyumbani kwake..akishikwashikwa na wadada anaona dunia yote yake
 
Back
Top Bottom