Saluni za kunyoa Sinza, hii sio namna ya kufanya biashara

bado ujajua ulicho nyoa bei unafata kunyoa nyege tu
 
Wengine hatuingii kabisa kuoshwa mule. Tunaenda oga nyumbani. Pale pa kulipa 3000 utakuta bili imefika 9000. Zaidi ni hayo mambo yao ya kuwashikashika watu. Nyoa uende utakuwa salama.
 
Alikuwa mwanachuo hiyo sijui 50, akalipie kichwa wapi na wapi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahah...ila wadada wa salon wanakera sana...hata kama ni kutafuta pesa..duuuh! Too much
 
Hahahah...ila wadada wa salon wanakera sana...hata kama ni kutafuta pesa..duuuh! Too much
Ukitaka wakupige jicho baya sindikiza mtu pale wananuna hao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nami nakunja ndita busy
na simu yangu akimaliza tu anawambia nasubiliwa hapo[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Sure Mimi pia nilifanyiwa hivyo Sinza Mori, nikadaiwa 30,000. Nilichukia sana kwa kweli, ni wizi mbaya sana.
 
Hapo sawa.... vinginevyo shemeji ananyolewa kipara kwa mkasi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utasikia funga kilemba au mtandio kumbe!!!!!!!!!
 
Ukitaka wakupige jicho baya sindikiza mtu pale wananuna hao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nami nakunja ndita busy
na simu yangu akimaliza tu anawambia nasubiliwa hapo[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hahahaha..wajinga sana wale..na dawa yao ni kusindikiza tu wakinuna kimpango wao
 
Hahahahahahaha,umenifurahisha kwakweli
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuna siku naona mbaba katuli tuli anageuzwa geuzwa tu kama mihogo kwenye kaango
Duuuh!! Alafu mibaba ndio inaliwa vizuri tu na ukizingatia zile huduma adimu nyumbani kwake..akishikwashikwa na wadada anaona dunia yote yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…