Saluti kwao: Hii ndio ripoti ya wasanii wa Tanzania waliotazamwa zaidi mwezi uliopita (Juni)

Saluti kwao: Hii ndio ripoti ya wasanii wa Tanzania waliotazamwa zaidi mwezi uliopita (Juni)

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ripoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za Youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi muda mrefu ila bado watu walikuwa wanacheki kazi zao za zamani.

Namba hazidanganyi, kama mnavyoona lebo ya WCB wasanii karibu wote wamo, kwa upande wa lebo nyingine labda tusubiri mwezi huu.

Screenshot_20210703_102101.jpg
 
Hivi wanakulipa sh ngapi?
Inategemeana, kwa views milioni 1 waweza kupata milioni 2, wanaokulipa ni wale wanaotangazaga matangazo kabla video haijaanza (skip ad) ila anaekuandikia cheki ya kutoa mpunga ni google
 
Ripoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi
Lavalava yeye hatokagi kwenye namba 8 [emoji3][emoji3]ni miaka sasa kila mwezi data zikitoka utamkuta hapohapo
 
Ripoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za Youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi muda mrefu ila bado watu walikuwa wanacheki kazi zao za zamani.

Namba hazidanganyi, kama mnavyoona lebo ya WCB wasanii karibu wote wamo, kwa upande wa lebo nyingine labda tusubiri mwezi huu.

View attachment 1838620
Kwamba ali pamoja na kutokuwa na ngoma bado alikuwepo?
 
Nchi yenye watu 60M ambayo karibu kila nyumba kuna msanii, eti hao ndio wasanii wanaifanya vizuri.

Halafu utasikia oooh, Muziki wetu umekuwa!!!

Labda umekuwa kurudi nyuma.
 
Yes ni kama lwa Diamond tu, kakaa miezo sita bila kutoa ngoma ila karibu miezi hio yote alikuwa kinara, ni kama muujiza
Huyu ambae KAMATA ndani ya siku 4 ina viewers mil 2.2 na SALUTE ndani ya siku 3 ina viewers mil 2.3 ila bado yeye anatrend?...
 
Huyu ambae KAMATA ndani ya siku 4 ina viewers mil 2.2 na SALUTE ndani ya siku 3 ina viewers mil 2.3 ila bado yeye anatrend?...
Teending number 1 ndio mpango mzima 😎😎

king gani yupo chini ya anaemwita sadala 😂

Screenshot_20210703_135552_com.google.android.youtube.jpg
 
Habari huko insta za kina mondi kuoekana pamoja na meneja wa kanye west, "Bu" tayari zinawatosha watu kama pacha - inno dependent na independent, kina slowly, sinza pazuri nk wamalize weekend vzr. Huku kina robidinyo, mkaruka na playboy babu wakipambana na views.

Ila hii ya Kanye ikitiki....daaah...
 
Nimefurahi kuwaona zabron singers hapo!! Hao wengine wachukueni mkakumbatiane huko mbali kalaabush!!
 
Dah konde gengi pamoja na kubusti bado tumeachwa🐒☹️
 
Ripoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za Youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi muda mrefu ila bado watu walikuwa wanacheki kazi zao za zamani.

Namba hazidanganyi, kama mnavyoona lebo ya WCB wasanii karibu wote wamo, kwa upande wa lebo nyingine labda tusubiri mwezi huu.

View attachment 1838620
Hii inasaidia nini kwenye kupunguza tozo za miamala?
 
Back
Top Bottom