sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Zabron singers nao kumbe wako kwenye kundi la wasaniiRipoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi
Inategemeana, kwa views milioni 1 waweza kupata milioni 2, wanaokulipa ni wale wanaotangazaga matangazo kabla video haijaanza (skip ad) ila anaekuandikia cheki ya kutoa mpunga ni googleHivi wanakulipa sh ngapi?
Lavalava yeye hatokagi kwenye namba 8 [emoji3][emoji3]ni miaka sasa kila mwezi data zikitoka utamkuta hapohapoRipoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi
Kwamba ali pamoja na kutokuwa na ngoma bado alikuwepo?Ripoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za Youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi muda mrefu ila bado watu walikuwa wanacheki kazi zao za zamani.
Namba hazidanganyi, kama mnavyoona lebo ya WCB wasanii karibu wote wamo, kwa upande wa lebo nyingine labda tusubiri mwezi huu.
View attachment 1838620
Yes ni kama lwa Diamond tu, kakaa miezo sita bila kutoa ngoma ila karibu miezi hio yote alikuwa kinara, ni kama muujizaKwamba ali pamoja na kutokuwa na ngoma bado alikuwepo?
Huyu ambae KAMATA ndani ya siku 4 ina viewers mil 2.2 na SALUTE ndani ya siku 3 ina viewers mil 2.3 ila bado yeye anatrend?...Yes ni kama lwa Diamond tu, kakaa miezo sita bila kutoa ngoma ila karibu miezi hio yote alikuwa kinara, ni kama muujiza
[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]Dah konde gengi pamoja na kubusti bado tumeachwa[emoji205][emoji3525]
Hii inasaidia nini kwenye kupunguza tozo za miamala?Ripoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za Youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi muda mrefu ila bado watu walikuwa wanacheki kazi zao za zamani.
Namba hazidanganyi, kama mnavyoona lebo ya WCB wasanii karibu wote wamo, kwa upande wa lebo nyingine labda tusubiri mwezi huu.
View attachment 1838620