Salva Rweyemamu amjibu Lipumba juu ya mafanikio ya Rais Kikwete

Salva Rweyemamu amjibu Lipumba juu ya mafanikio ya Rais Kikwete

Hoja ya Salva ina mapungufu sana. Kushindwa kwa Lipumba hakumfanyi Rais Kikwete afanikiwe katika kazi yake ya Urais. Watanzania tumemchagua Kikwete awe kiongozi wa watanzania wote akiwamo hupo Prof. Lipumba. Sasa kama Lipumba anaona kazi hiyo imemshinda Kikwete kwa nini hasiseme? Kama Lipumba ni dhaifu katika kuongoza chama chake CUF haimzuii kuona mapungufu ya Rais Kikwete maana kazi ya urais wa nchi ni moja. Salva is not comparing apples with apples. Nina imani Lipumba alikuwa anamlinganisha Rais Kikwete na marais waliomtangulia yaani Mwl. Nyerere, Mzee Ruksa na Ben Mkapa ndio maana anasema Kikwete kashindwa kazi kulinganisha na hawa wenzake waliomtangulia. Lipumba alinganishi Kikwete na Freeman Mbowe, Augustine Mrema, na yeye mwenyewe maana hawa wote hawajawahi kuwa marais. Salva anachemsha kwa kupotosha hoja ya Lipumba. Salva atwambie Kikwete amefanya nini au ana mategemo yapi kulinganisha na marais wengine siokumliganisha na Lipumba!
 
Chochote anachosema ama anachoandika Rweyemamu ni tamko rasmi la Ikulu ...

Yaani mkurugenzi wa habari IKULU anaweza kuzungumza JIBU la hojalikaitwa ni binafsi na yasichukuliwe kama ni majibu ya IKULU!..
Hivi Kikwete ni wakati gani anaweza kuzungumza mawazo yake binafsi, au mkurugenzi wa wiizara anaweza kuzungumzia jibu la swala linalohusiana na wizara yake lisiwe jibu la wizara..
Jamani nipeni somo hapa maanake nashindwa kabisa kuunganisha..hayo majibu ya Ikulu yatakuwa na tofauti gani vile!. Kama yeye ni mkurugenzi wa IKULU hutakiwi kabisa kuzungumza maswala nyeti kama haya bila idhini ya Ikulu.. ndio kazi aloajiriwa KUSEMA kwa niaba ya IKULU...

Hapo ndipo na mimi nilipochoka akili. Msemaji wa Rais anasema anaongea ya kwake binafsi!

Ukiokota mtu barabarani ambaye hana qualifications zozote ukamwambia awe Rais na yeye ataokota wazururaji mabarabarani wawe wasaidizi wake. Ndio kina Rweyemamu hawa, kina Mkullo, Simba, Mkuchika.

Rweyemamu, msemaji wa rais, anasema CUF ni chama cha kidini ndio maana kimekubalika Pemba tu. Yani, watu wa Pemba ni wadini. Na watu wa Unguja na Bara ni Wakristo watupu. Na Wakristo wa Unguja na bara hawataki waislam. Ndio pointi ya Rweyemamu. Huyu ni mgawanya nchi, mdini, hatari, haini, afungwe, sio tu afukuzwe. Kichwani ame stuff vile vitu vinawekwa ndani ya bata mzinga anaebanikwa kwenye sikukuu za shukrani, ni madude hayana jina, wanasema tu turkey stuffing. Kikwete ametuletea watu wana turkey stuffing vichwani.
 
Hoja ya Salva ina mapungufu sana. Kushindwa kwa Lipumba hakumfanyi Rais Kikwete afanikiwe katika kazi yake ya Urais. Watanzania tumemchagua Kikwete awe kiongozi wa watanzania wote akiwamo hupo Prof. Lipumba. Sasa kama Lipumba anaona kazi hiyo imemshinda Kikwete kwa nini hasiseme? Kama Lipumba ni dhaifu katika kuongoza chama chake CUF haimzuii kuona mapungufu ya Rais Kikwete maana kazi ya urais wa nchi ni moja. Salva is not comparing apples with apples. Nina imani Lipumba alikuwa anamlinganisha Rais Kikwete na marais waliomtangulia yaani Mwl. Nyerere, Mzee Ruksa na Ben Mkapa ndio maana anasema Kikwete kashindwa kazi kulinganisha na hawa wenzake waliomtangulia. Lipumba alinganishi Kikwete na Freeman Mbowe, Augustine Mrema, na yeye mwenyewe maana hawa wote hawajawahi kuwa marais. Salva anachemsha kwa kupotosha hoja ya Lipumba. Salva atwambie Kikwete amefanya nini au ana mategemo yapi kulinganisha na marais wengine siokumliganisha na Lipumba!

well said Byasel......msameheni bure huyu Salva
 
Hapo ndipo na mimi nilipochoka akili. Msemaji wa Rais anasema anaongea ya kwake binafsi!

Ukiokota mtu barabarani ambaye hana qualifications zozote ukamwambia awe Rais na yeye ataokota wazururaji mabarabarani wawe wasaidizi wake. Ndio kina Rweyemamu hawa, kina Mkullo, Simba, Mkuchika.

Rweyemamu, msemaji wa rais, anasema CUF ni chama cha kidini ndio maana kimekubalika Pemba tu. Yani, watu wa Pemba ni wadini. Na watu wa Unguja na Bara ni Wakristo watupu. Na Wakristo wa Unguja na bara hawataki waislam. Ndio pointi ya Rweyemamu. Huyu ni mgawanya nchi, mdini, hatari, haini, afungwe, sio tu afukuzwe. Kichwani ame stuff vile vitu vinawekwa ndani ya bata mzinga anaebanikwa kwenye sikukuu za shukrani, ni madude hayana jina, wanasema tu turkey stuffing. Kikwete ametuletea watu wana turkey stuffing vichwani.

....hapo tuko pamoja mkuu
 
Yah: Salva Rweyemamu amjibu Lipumba...

Nadhani majibu ya Salva ni sahihi. Gazeti la MwanaHalisi lilichapisha makala hiyo ya Lipumba kuwa Kikwete ameshindwa( yakiwa ni maoni ya Lipumba) na Salva amejibu kupitia gazeti hilo kuwa aliyeshindwa ni Lipumba kwa kuwa Chama chake cha CUF hakina kiti Tanzania Bara, kimekuwa mshindwaji mzoefu katika Chaguzi na kwamba kimejijenga Pemba tu, kwa sababu zinazofahamika. JK hajashindwa. Kwamba watu sasa wanapata hata nafasi ya kidemokrasia ya kutoa maoni yao, kama haya, kma Mahakama ya Kadhi, Manifesto ya Wakatoliki n.k. na sivyo kama ilivyokuwa hapo nyuma, peke yake ni ushindi! Kuna hatua zimepigwa katika Elimu (Chuo Kikuu cha Dodoma na vingine 32 nchini kote, badala ya UDSM peke yake ilivyokuwa awali, na kwamba angalau vijana wengi sasa waliokuwa wawe mitaani sasa wanaingia Sekondari na wanafurahi); Afya (kuna zahanati karibu kila kijiji) Barabara, (karibu mikoa yote sasa inaunganishwa kwa lami) na katika nyanja nyingi. Msizisahau foleni za unga, vitambaa vya "Crimplene", hakuna TV, Radio moja tu RTD, na barabara za mashimo hata Samora Ave. pale Dar!, ukitaka kusafiri nje mpaka upate kibali Ikulu, "Forex" hakuna, ukiingiza TV unakamatwa, "Fridge" ni "luxury", vijijini wananchi wanavaa viroba, n.k.!

Bwassa
 
Last edited:
Profesa Lipumba: Nani kashindwa kazi?

Na Salva Rweyemamu

WIKI iliyopita, Mwenyekiti wa muda mrefu wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, alikaririwa na gazeti la MwanaHALISI akisema kuwa Rais Jakaya Kikwete "ameshindwa kazi."

Kiongozi huyo pia alikaririwa akisema kuwa hata chama chake, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kazi.

Nianze kwa kutamka kuwa kauli hiyo ya Lipumba haiaminiki kwa sababu siyo ya kweli na nina hakika na yeye anajua kuwa siyo ya kweli. Lakini zaidi ya kutoaminika, kauli hiyo ni ya kusikitisha na yenye kiwango cha juu cha kutowajibika kutoka kwa kiongozi kama Lipumba.

Yaani kuanza tu kashaanza madudu, huyu Salva kashakuwa Sangoma wa kuingia kichwani mwa Lipumba na kujua Lipumba anajua kipi kama kweli na kipi anapiga "changa la macho"? Huyu kweli ni msemaji wa Ikulu? Huyu anayeacha mambo yanaelea hewani tu? OK, umesema alichosema Lipumba si kweli na wewe Salva unajua kwamba Lipumba anajua kwamba si kweli, hukutufanyia haki kutuacha bila kutuambia umejuaje Lipumba anachojua ni nini.

Kwa sababu ni ukweli usiopingika kuwa miongoni mwa viongozi wote wa vyama vya upinzani, pengine Lipumba ndiye mwenye sifa angalau zinazokaribia zile za mtu anayeweza kufikiriwa kuwa kiongozi wa kitaifa.

Hapa katika nchi inayojali kaulimtu, Lipumba anaweza kukichukua hiki ki clip na kukifanya kama campaign slogan, kwamba Lipumba amekuwa endorsed na Salva Rweyemamu, msemaji wa Kikwete.Salva hafahamu it is a thin line between eminent criticism and actual endorsement, and probbly does not have the intellectual wherewithal to walk on the one side of that line Kikwete would like him to.No wonder anajiumauma na kusema haya ni maoni yake binafsi (how absurd!)

Isitoshe, Lipumba sasa anao uzoefu wa uongozi wa chama cha siasa. Amekuwa Mwenyekiti wa CUF kiasi cha kwamba Mtanzania mwenye umri wa miaka 15 leo na anakaribia kuwa mpigaji kura dhidi ya chama hicho, hamjui mwenyekiti mwingine yoyote wa chama hicho, isipokuwa Lipumba.

Hili ni dongo kwamba CUF haina demokrasia ya kupokezana madaraka, probably kuna ukweli fulani hapa. Lakini those who live in a glasshouse should not throw stones. CCM sasa hivi iko katika jitihada za kuwanyamazisha na kuwanyima haki zao za kikatiba kina John Shibuda na wengine wanaotaka kugombea urais mwaka 2010 kwa tiketi ya CCM.Kwa hiyo huku kupokezana urais na uenyekiti CCM si kitu cha kuwa celebrated, kwani kunafanyika pale inapobidi tu, rais anapomaliza terms zake mbili.Hujawahi kusikia CCM imeteua mgombea urais mwingine na kumuacha incumbent ambaye hana restrictions za two terms, hujawahi kusikia CCM inataka kuondoa kofia mbilia. Salva Rweyemamu kama msemaji wa ikulu angekuwa smart asingeileta hii point kwa sababu ina wa expose CCM zaidi ya inavyowa expose CUF.Kwa sababu angalau CUF imeanzia tangu kina Mapalala, Mageni na sasa Lipumba na kubadilisha uongozi bila ya kushurutishika kufanya hivyo.Nitajie wapi CCM imefanya hivyo.

Tatizo ni kwamba Lipumba anaongoza chama kisichokubalika katika sehemu kubwa ya nchi. Anaongoza chama ambacho kwa sababu ya sera zake za udini uliokithiri, kimefanikiwa kujithibitisha kuwa chama cha kikanda – kanda ya Pemba katika Tanzania Visiwani, wala siyo chama cha Zanzibar, bali chama cha Pemba.

This is the oldest Machiavellian trick in the book, if you cannot discredit a person's points, discredit the person and his organization.Look, everybody of any reknown should know that at the standing, CUF does not have a national outlook and it is disproportionately represented in Zanzibar, particularly Pemba.But what does this have to do with the allegations that Lipumba made? Hii ndiyo kama mkuu wetu GT anavyokuja na kukataa points za Ulimwengu kwa kusema Ulimwengu ni Mnyarwanda, hogwash.Whether CUF is a failure or not, address the issues raised, usilete shenanigans za mipasho.

Ni kauli za namna hiyo za Lipumba ambazo wakati mwingine zinamfanya kiongozi huyo wa CUF kushutumiwa kwa kuwa kigeugeu. Mwanasiasa ambaye asubuhi anasema jambo la maana na busara, jioni anasema jambo la ovyo, lisilokuwa na kichwa wala miguu. Kauli hiyo ndiyo kielelezo kizuri zaidi cha tabia ya Lipumba.

Yaani huyu bwana msemaji wa rais mzima anafanya mambo shaghalabaghala, "kauli kama hizo" ni kauli gani? Let us be specific jamani, hapa tushaongea mengi, anazokusudia Salva ni zipi hasa?

Sasa kutoaminika ni jambo moja. Liko jambo la pili ambalo ni kubwa zaidi kabla ya hata kujibu moja kwa moja hoja pindifu ya Profesa Lipumba. Hili la pili liko katika mfumo wa swali. Na swali lenyewe ni je, nani hasa kashindwa kazi kati yake yeye Profesa Lipumba na Rais Kikwete?

Again, hoja pindifu ni yake Salva ya kutaka kuondoa hoja kutoka kwenye assesment ya utendaji wa Kikwete, na kuipeleka kwenye comparison itakayo shift focus from Kikwete to Lipumba.Kama walivyosema wakuu hapo juu, Watanzania hawakumchagua Lipumba, Salva si msemaji wa Lipumba, kama Kikwete hajashindwa kazi sema hajashindwa kwa sababu a, be, che na kadhalika. Kutaka kum drag huyu "loser" Lipumba kama unavyomsema katika comparison na Kikwete ni sawa na kumpandisha chart Lipumba na kumshusha Kikwete.You can only compare comparables, ukitaka kum compare Lipumba na Kikwete then they must be comparables in some sense, meaning kama unadai Lipumba mchemfu basi Kikwete naye ana uchemfu fulani ili kuweza kuwa compared na Lipumba, au kama unadai Kikwete anafanya kazi vizuri basi Lipumba anatakiwa awe anafanya vitu fulani vizuri ili uweze kum compare na Kikwete, huwezi kusema Lipumba hana demokrasia na Kikwete ni mtenda kazi mzuri halafu ukawafanyia a just comparison, utaonekana hamnazo.

Tulijibu swali hili kwa ufupi tu kuonyesha kushindwa kwa Lipumba katika uongozi mzima wa chama kisichochagulika. La kwanza ni lazima tukubali kuwa ni kitendo cha kushindwa kwa mtu mwenye elimu, upeo, uzoefu na ujuzi wa mambo kama alivyo Lipumba kutoka chama kama CCM na kuingia chama kama CUF, na bado akaendelea kujiaminisha kuwa anaweza kupewa ridhaa ya kuongoza nchi na Watanzania.

Again, anaondoka kwenye hoja na kuingia katika cheap Machiavellian constructs.

Inahitaji mtu ambaye hajapata kuishi Tanzania kabisa kufanya uamuzi kama aliofanya Lipumba kuingia chama kisichoaminika kwa sababu ya udini, kisichochagulika kwa sababu ya kutoaminika, na kilichoshindwa kwa zaidi ya miaka 15 sasa kusambaza mtandao wake na ufuasi nje ya eneo dogo tu la nchi hii, yaani Kisiwa cha Pemba. Hili la kwanza. Miaka yote hii, ameshindwa kufurukuta kutoka nje ya Pemba. Sasa nani hasa kashindwa kazi?

Condescending, incendiary, preposterous, unfortunate and at the very least politically incorrect

Basically ana reduce politics zote za Zanzibar katika udini.The interesting part is that Zanzibar is 95% plus Islam, sasa udini huu uko wapi kati ya Waislam na waislam? Mbona kuna a marked divide between CCM and CUF along the lines of Unguja/ Pemba?

La pili katika kujibu swali la nani kashindwa kazi ni kuangalia historia ya Lipumba na Kikwete katika kusaka uongozi. Lipumba ameanza harakati za kuwania urais tokea uchaguzi wa kwanza kabisa wa vyama vingi mwaka 1995.

Hapa jamaa anajionyesha alivyo ruthlessly unfair.Yaani anataka kulinganisha mtu wa chama kilichorithi machinery ya mkoloni 1961 na chama kilichoscrap existence 1992? Yaani hapa basically Salva anaonyesha jinsi asivyo commited to democracy, anaonyesha yeye ni vulture tu anayetaka kuwa na chama kitakachoshinda, to hell with democracy, ndiyo maana anamshangaa sana Lipumba kutoka CCM na kuingia upinzani kwa sababu kwa mujibu wa Salva upinzani haushindi kuchukua power na hivyo hauna maslahi, achilia mbali precedents na processes zitakazowekwa.This is the sort of person this Salva fellow is.

Aligombea mwaka 1995, akashindwa vibaya na Rais Benjamin Mkapa. Akajaribu tena mwaka 2000 akashindwa tena na Mkapa. Akajaribu tena mwaka 2005 dhidi ya Kikwete, anajua kilichompata.

Huyu mpuuzi haelewi kuwa kugombea na kushinda uchaguzi siyo achievement worthy of mention to notable achievers? Kupata kazi si achievement, achievement ni kuifanya hiyo kazi kwa ufanisi.

Sasa nani hasa kashindwa kazi? Huyu ambaye amekuwa mgombea na mshindwa mzoefu wa urais, ama mwenzake ambaye kasi yake ya kupata alichokiwania haihitaji kuelezwa kwa yoyote?

I can taste the ignoble and unschooled colloquism coming out of his mouth.Huyu anafaa zaidi kwenye malumbano ya vijiweni kuliko spirited debates za high rings za political circles Tanzania.

Tatu katika kujibu swali la nani kashindwa kazi ni kuangalia mafanikio ya Lipumba katika kujenga ushawishi wa CUF kuungwa mkono na Watanzania. Tokea kuundwa kwa chama chake na tokea yeye kuongoza chama hicho, CUF imepata ufuasi wake na wabunge wake kwa asilimia 99.99 kutoka Pemba.

This is not about Lipumba, this is about Kikwete.In the pocess of discrediting Lipumba Salva actually risks elevating Lipumba to the presidential level, in taht he is actually making a toe to toe comparison.Right now Lipumba is the antipope, the antipope can trick the pope into getting airtime and getting his agenda out by constantly attacking the pope, now when the cardinals come to defend the pope by mentioning the antipope more than they mention the pope, however negatively, they are actually elevating the antipope to the pope's status.Salva probably does not even know the whole antipope phenomena. Msemaji wa Ikulu my foot!

Katika Unguja, CUF chini ya uongozi wa Lipumba imesusua vibaya mno. Kwa sasa ina kiti kimoja tu katika Unguja kwenye Jimbo la Ngome Kongwe. Huko Bara ndiyo kabisa, ni aibu. Imeshinda viti viwili tu katika miaka yote ya uongozi wa Lipumba. Kimoja cha Kigamboni, Dar es Salaam kilipata kushikiliwa na Frank Magoba kwa kipindi kimoja tu.

More power to the antipope.In not talking about Kikwete and his achievement, Salva is in a way conceding that there are no achievements to be mentioned, at least none as important as this Lipumba bashing so far.This is a tragedy.

Cha pili, cha Jimbo la Bukoba Mjini wakati wa Wilfred Lwakatare; sasa nacho kimeota mbawa, kama alivyoota mbawa Lwakatare mwenyewe ambaye amekwenda CHADEMA. Hivyo katika eneo zima la Tanzania Bara, CUF chini ya Lipumba haina hata kiti kimoja. Nani hasa kashindwa kuongoza? Bila shaka atakuwa ni mwenye wabunge sifuri Bara.

Colloquial, graceless, characterized by lack of eminence, unstatesmanlike, overly political and not concerned about the actual plight of the people.Overly political people are characterized by their concerns for winning elections rather than solving problems, you can see this all over Salva's rhetoric.He is so far not talking about the issues or even at least party policy and manifesto, he is solely concerned about winning elections.This type of bloodsuckers can easily steal votes to stay in power, these mercenaries have no conscience.

Nne, katika kugombea kwake urais, hali ambayo ni rekodi ya Tanzania mpaka sasa, akishindana na Katibu Mkuu wake, Seif Shariff Hamad kwa urais wa Zanzibar, hajapata kuvuka zaidi ya asilimia 10 ya kura zote za urais.

Si nilikuambia, elections, elections, elections.Haongei policy, haongei jinsi CCM inavyokubalika kwa wananchi in terms of actual issues, kwa sababu hana cha kuongea.Ataishia kuongea electocracy kama credential katika system ambayo haina meritocracy.Hogwash!

Sasa nani kashindwa kazi? Huyu anayepiga asilimia 82 katika jaribio lake la kwanza ama yule wa chini ya asilimia 10 miaka nenda, miaka rudi.

Halafu anaonyesha hubris na kutoelewa. Kikwete hakuanza kugombea urais 2005, in fact mara ya kwanza hakupata hata tiketi ya chama chake.Halafu unapoongelea uchaguzi wa rais it is more than the person.1995 watanzania wengi walikuwa wanamjua Ken Mkapa kuliko Ben Mkapa, lakini Mkapa kashikwa mkono na machinery ya CCM, machinery ya ukoloni iliyomrithi muingereza, machinery iliyokwapua rasilimali za nchi kwa miaka yote hii, leo unataka kuwalinganisha kina CCM na CUF? Sawa hiyo?

Lipumba ana nini cha mafanikio ya kuonyesha katika miaka yote hii, ukiondoa uvumilivu wa kuheshimika, kwa kweli, wa kubakia katika chama cha upinzani kisichokuwa na dira wala mwelekeo, ama matumaini ya ushindi. Uvumilivu huu, kwa hakika, ni wa kuheshimika.

Usituonyeshe mapungufu ya Lipumba ambayo mpaka sasa unataka kuyafanya centerpiece ya piece yako, tuonyeshe mafanikio ya Kikwete.Arent you supposed to be Kikwete's spokesman?

Maadamu sasa tumetoa ushahidi kuthibitisha kuwa ni Profesa Lipumba aliyeshindwa kazi na wala siyo Rais Kikwete, sasa tuangalie hoja ambazo Lipumba anajengea tuhuma ya kwamba Rais Kikwete ameshindwa kazi.

Kwa kuanza na jaribio la kum discredit Lipumba kabla ya kutuonyesha mafanikio ya Kikwete umetuonyesha jinsi ubongo wako unavyofanya kazi na priorities zako zilipo.Aidha umetuonyesha kuwa mafanikio yote ya Kikwete hayana umuhimu wa kuchukua nafasi ya kwanza kuelezwa kabla ya mapungufu ya Lipumba.Ushauri wa bure, kama unaandika piece kama hii siku nyingine anza na mafanikio ya Kikwete, halafu katika paragraph moja au mbili za mwisho una condense mapungufu yote ya Lipumba.This way unamuweka rais juu halafu Lipumba unampa mkia tu wa habari yote.Ulichofanya hapa umemuweka Lipumba juu na Kikwete sasa unampa mkia wa habari.Ningekuwa mimi muajiri wako ningeona hii either ni incompetency au dharau, choose your weapon.

Lipumba anasema kuwa Rais Kikwete ameshindwa kumaliza mpasuko wa kisiasa Zanzibar, na kwamba ameshindwa kupambana na matatizo ya sekta za elimu, afya na nishati.

Righto, tuone atakavyo spin.

Kama nilivyosema hapo juu, Lipumba anasema mambo kama vile hajapata kuishi katika nchi hii. Hivi nani asiyejua kuwa ni CUF ambayo imekwamisha kufikiwa Mwafaka wa Zanzibar kwa sababu inakataa kurejea kwenye meza ya mazungumzo ya kumaliza mpasuko huo.

Rais Harry Truman wa Marekani alikuwa na kibao kwenye desk lake White House kimeandikwa "The Buck Stops Here". Yaani, katika utendaji wa mambo yote nchini Marekani kuna watendaji wengi wa idara na wizara mbalimbali, na kila mmoja anaweza kupitisha hiki ki "buck" cha lawama.Usipofanya kazi vizuri una sehemu ya lawama, lakini sehemu nyingine inamuendea boss wako, na boss wake na boss wake, lakini, hiki ki "buck" cha lawama kinaishia wapi? Ndipo hapo Truman akasema "The Buck Stops Here" yaani katika mambo yote yanayohusu Marekani, lawama zote zinaishia katika meza ya rais Truman, kwa hiyo kama Kikwete na miguvu yote ya dola na intelligence kashindwa kuwashawishi CUF kukaa mezani, inawezekana kabisa CUF wana lawama zao, lakini hii haiondoi responsibility ya rais.Rais ameshindwa kuwashawishi CUF. The buck stops with the president.Salva hajui concept ya rais kuchukua responsibility zote, analeta siasa za mikahawani.

Kwa hakika, CCM na CUF, zimemaliza tofauti zao kuhusu Zanzibar. Tofauti iliyopo ni jinsi ya kutekeleza yaliyofikiwa; CCM ikisema kuwa makubaliano hayo yaende kwa wananchi kwa kura ya maoni, CUF ikisisisitiza kuwa saini za Katibu Mkuu wa CCM Yusuf Makamba na mwenzake Seif Shariff Hamad wa CUF zinatosha kuhalalisha mageuzi makubwa kiasi hicho katika mstakabali mzima wa Zanzibar.

This is debatable, and the forcibly obtuse way it is presented here says more about the presenter than the process.

CCM inashikilia kupata ridhaa ya wananchi kwa sababu mageuzi hayo, yatabadilisha mwelekeo mzima wa siasa na Katiba ya Zanzibar kwa kuundwa kwa serikali ya Mseto, CUF inasema saini za Makamba na Hamad zinatosha. Nani asiyeoona nani anafanya usanii hapa?

I can taste the colloquism. Salva should apologize publicly to all artists. Yaani kuna lugha fulani mimi na wewe hapa JF we can get away with, lakini si msemaji wa Ikulu.Jinsi mtu anavyojieleza yaeleza mengi kuhusu mtu huyu anavyofikiri.Salva is colloquial in thought, deeds and speech/writing.

After the 1995 stealing of votes CUF has no reason to have any faith in a voting process, especially if a quicker alternate is available.CUF and CCM already represent about 50% each of the Zanzibari population, so what's the beef about?

Kuhusu elimu, Lipumba haihitaji kukumbushwa kuwa ni Rais Kikwete aliyeleta mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu ya Tanzania kuliko mwingine yoyote ukiondoa mwanzilishi wa taifa hili, Mwalimu Julius Nyerere. Leo hii, hakuna mtoto wa Tanzania anayeshindwa kuingia sekondari kama ameshinda mtihani kwa sababu sasa nafasi zinatosheleza mahitaji.

Huwezi kuongelea elimu in terms of quantity alone ignoring quality.Huwezi kuongelea nafasi bila kuongelea affordability na purchasing power ya wananchi, huwezi kuongelea elimu in isolation bila kuongelea uchumi, huwezi kuongelea uchumi wa wananchi wa kawaida na kusema Kikwete amepandisha kipato cha watanzania.

Tusisahau jambo moja. Shutuma hizo za Profesa Lipumba zilitolewa wakati akizindua "Operesheni Zinduka"- yaani, kwa maelezo yake mwenyewe, dira mpya ya chama cha CUF kuelekea kwenye uchaguzi mkuu mwakani.

And what's wrong with that? Jibu hoja usilte viroja.

Ishara moja ya kushindwa kwa sera za chama chochote cha siasa ni kuanzishwa kwa shughuli zinazoitwa "operesheni." Chama kina sera inayojulikana, sasa kinahitaji operesheni ya nini? Chama chochote kinachoanzisha operesheni maalum kinakiri udhaifu wa sera zake.

To the contrary.Ishara ya kubweteka na kufa kiitikadi kwa chama cha siasa ni kukosa grassroot involvement initiatives kama operesheni hizi

Kwa hakika kinazidi kuwachanganya zaidi wananchi, na hasa wafuasi wake, kwa kuwalazimisha wachague kati ya kufuata sera za chama chenyewe, ama matakwa ya operesheni maalum inayouzwa kwa wananchi kwa ghiliba kubwa mno. Hapa linakuwa limekuwa suala la kufa ama kupona.

Hujaweza kueleza ni kwa nini operesheni hizi haziwezi kuwa zinasisitiza na kuelezea zaidi sera za chama. Yaani jamaa anataka kufanya kama anaandikia watu wa kindergatten.

Chama kinachokwenda vizuri hakihitaji msukumo wa operesheni maalum ya aina yoyote. La kuvunda halina ubani. Operesheni hizo zote, iwe ni Operesheni Zinduka, Operesheni Sangara ni kiini macho, ni ishara isiyopingika ya chombo kwenda mrama.

La kuvunda halina ubani ndiyo maana CCM haijishughulihi na operesheni, kwa sababu wanajijua wamevunda kwa ufisadi hamna ubani wa operesheni yoyote utakaowasaidia, wanajua wataiba benki na kuhonga na kuiba kura hivyo operesheni za grassroot involvement si muhimu kwao.Vyama vya upinzani vinajua vina nafasi katika mioyo ya wananchi na ndio maana vinapiga ubani wa operesheni hizi.

Makala hii imeandikwa na Salva Rweyemamu katika nafsi yake binafsi, na wala siyo kwenye nafasi yake rasmi ya Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Rais (DPC). Inaelezea tu mawazo na maoni yake binafsi na wala haiashirii maoni ama mawazo ya Ikulu ama ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Hapa ni kituko cha karne.Rweyemamu nafasi yake binafis iko katika yale asiyoyasema tu, akisema, hata kama yuko nyumbani kwake na mwandani wanakunywa chai, likidakwa na paparazzi, inakuwa si kauli binafis bali kauli ya msemaji wa rais.

Ndiyo maana naishangaa sana hii ikulu ya Kiwete what with the personal blogging and now this sorry excuse of a spokesman.
 
Huwezi amini kama ni mkurugenzi wa Ilkulu habari ndio mwenye mawazo na mtizamo finyu kiasi hicho.

unakuja na majibu ya udini, ushindi wa uchaguzi kulinganisha na maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Nadhani huyu jamaa ni bonge la kilaza, I cant imagine he is in that position likely aliyemteua nae ni kilaza mwenzake.

Jibu hoja angalau zenye uzito na zinazoweza kumfanya mtu mwenye akili timamu afikiri. sure ningekuwa mwalimu salva angepata fimbo 5 kwa majibu yake
 
Kweli RA anatujazia vitu vya ajabu kwenye top layer, na mkuu nae wala hashtuki. akiletewa mtu tu NDIO MZEE
 
Something has to be done hapo Ikulu ili kuirudishia heshima yake. Mkurugenzi wa mawasiliano wa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kukurupuka na kuropoka vya kuropoka inasikisha na inatisha kwa kiasi kikubwa sana.

Mkurugenzi huyo ndiye mdomo na kalamu ya Raisi, ni cheo nyeti sana ndani ya nchi. Kila atakalosema na kuandika na kuliwakilisha kwa wananchi ni lazima linamuhusisha Raisi. Hawezi kusema kwamba anasema ama anaandika kama Salva Rweyemamu, NO yeye ni Mkurugenzi wa mawasiliano wa Raisi.

Kuna vyeo ambavyo taka usitake ni lazima unavibeba wakati wote na popote, hivyo kila utendalo na usemalo lina uhusiano na cheo chako, hiki cheo cha Rweyemamu ni kimoja wapo. Kama anaona hakiwezi ni hekima akajiuzulu ili kuilinda heshima yake na heshima ya Ikulu.

Majibu ya Salva yananipa picha kwamba hapo Ikulu mambo ni shagalabagala kwa maana kwamba hakuna mpangilio madhubuti katika utendaji na uwajibikaji.

Na ni kipi hasa kilichokufanya ukurupuke na kujibu pumba katika suala hili?.

Wewe na bosi wako mna mambo mengi sana ya kuwajibu wananchi, kama vile suala na nani mmiliki wa kagoda, suala la meremeta, msimamo wenu kuhusu Dowans, Kiwira, ni lini Mkapa atakamatwa na kupandishwa mahakamani na mambo mengine muhimu.

Ningekuwa na uwezo wa kukushika mikononi mwangu ukweli ningekuvurumishia makofi.
 
salva alete ushahidi kutoka ikulu kuwa cuf ni chama cha kidini .....maana mtu katika nafasi nyeti kaa hiyo hatakiwi kuzungumza vitu kutoka hewani tu!
 
Kuna uwezekano kuwa mtu ameamua kutumia jiona la Salva Rweyemamu kuandika makala hiyo. Salva Rweyemamu yule ninayemfahamu hana hoja finyu na mawazo finyu kama hayo, ya kusema udini umeifanya CUF iishie pemba wakati kuna waislamu wengi tu Tanzania ambao si wana CUF. Na mtu kama Salva hawezi kuanzisha au kushiriki kwenye malumbano na kwenye magazeti, tuache udaku jamani.
 
Kuna uwezekano kuwa mtu ameamua kutumia jiona la Salva Rweyemamu kuandika makala hiyo. Salva Rweyemamu yule ninayemfahamu hana hoja finyu na mawazo finyu kama hayo, ya kusema udini umeifanya CUF iishie pemba wakati kuna waislamu wengi tu Tanzania ambao si wana CUF. Na mtu kama Salva hawezi kuanzisha au kushiriki kwenye malumbano na kwenye magazeti, tuache udaku jamani.

Acha kuwa apologist wa Salva.

Salva mwenyewe hajaja kuikana hiyo piece. Kuna barua ya Salva ililetwa hapa, jamaa mtupu kuanzia concepts, maadili mpaka lugha.

Hebu lete pieces zake unazoziamini tuziangalie hapa. Hizi habari za kuleta u fan hazitakiwi hapa JF. Salva hana uwezo wa kusifiwa kiasi hicho wala nini, huwezi kumuweka up there na watu wanaojenga hoja kisomi na kwa kutumia references za nguvu kama Jenerali Ulimwengu. Jenerali hata kama hukubaliani naye unaona huyu mtu arguments anazo na anajua kuzijenga, tena na varied resources, ukimsoma unaona kabisa huyu mtu ni well read, anaelewa issues na ana a wealth of knowledge from a very global perspective.

Huyu Salva hata hapo kwenye magazeti ya Rostam hakustahili, ni mjanja mjanja fulani tu.Halafu kinachoshangaza ni mtu wa siku nyingi sana going back to the days of the Mkapas, Sammy Mdees, Kanyama Chiumes, Ibrahim Kadumas, Uli Mwambulukutus na Jenerali Ulimwengus, enzi ambazo kina Kikwete pado wanapenga makamasi kwenye vishati Kibaha huko, lakini leo hii badala ya kumsaidia clueless Kikwete, yeye ndiye anasaidia kuharibu zaidi.
 
The Mystery of Salva The State House Aide
Written by ET

The Mystery of Salva The State House Aide

Tanzanian journalism knows of three Salvatory Rweyemamus. But it is still not clear just which was appointed. WIll the real Salva please stand up?


In September 2007, we received information alleging that Salvatory Rweyemamu would be appointed as the new director of communications at State House. The information was relayed through a press release by Tanzania Information Services and was quoted by almost all Tanzanian news outlets the following day. It was stated in the press release that Rweyemamu was one of the directors of an obscure Dar es Salaam consulting firm called G & S Media Consultancy. At the time, most observers did not know the company or its clientele.

Immediately after the news had been broadcast and published in the newspapers throughout the country, some great names in the field of journalism came out to support and praise the newcomer.

The former editor in chief of Tanzania Daima, Deudatus Balile, who was then studying in the UK, wrote in one of his articles that Rweyemamu "is a seasoned journalist, very good at arguing his case, and an eloquent English speaker."

Balile also said that the new director had once worked at Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD), Uhuru and Mzalendo newspapers. He had also worked at Habari Corporation, the publisher of Rai, Mtanzania, and Dimba newspapers. He added that he had heard that Rweyemamu had been working as a consultant for a company called G & S Media Consultancy.

Balile advised Rweyemamu to work diligently and not follow what his predecessors had been doing, like carrying the president's bags and folders.

He further called on Rweyemamu to leave his office doors wide open for journalists so that they could walk in any time and obtain information which would in turn make his own job easier. Bailie also warned the new communications director not to run away when journalists confronted him for elaborations of stories. Such actions would make his new position very difficult indeed.

Alloyce Komba, another Rweyemamu enthusiast and a long serving journalist and lawyer, described him as "an experienced journalist, articulate and very good at presenting his views, which he does soberly."

Komba even suggested that anyone in Rweyemamu's position should be the Chief State House Spokesman instead of Mohammed Seif Khatib, the Minister for Information and Sports, or even Kingunge Ngombale-Mwiru, the ruling party CCM propagandist and one of the longest serving cabinet ministers in East and Central Africa.

Komba then called for the newly-appointed Rweyemamu to be given the freedom "to select his team of competent journalists to help him man the communications department."

Komba was particularly hopeful, saying that Tanzanian journalists are "waiting to see good communication between wananchi and State House occupants now that there is a competent person manning the communications department."

He said communication between State House and the wider public should be channelled through Rweyemamu and not the ministers, including Kingunge, Philip Sarnka Marmo, and Khatib.

Who Is Salvatory Rweyemamu?
From the foregoing, it should be strange, indeed unfortunate that I, a Tanzanian journalist, should be in the dark as to who this Rweyemamu from G & S Company is. Yes, I am indeed aware of the existence of several Salvatory Rweyemamus in Dar es Salaam, often referred to as Salva in short.

One well-known Salva once worked for Uhuru and Mzalendo publications. A different Salva worked for Habari Corporation, while yet another Salva was recently working as a public relations officer. What I would love to hear, from those who appear to be more informed, is an exact description of the newly-appointed Salva, his looks, his capabilities, his habits, and his patriotism.

The First Salva
The first of these three Salvas, the one who worked for Uhuru and Mzalendo, is a very strong journalist indeed. He was the best news editor in the country in his time. Those who had the honour of working under him praised him on different occasions saying "even if he is called Rweyemamu, he is not a Mhaya with regards to his behaviour."

This Salva was never divisive and had aided many up and coming journalists who had happened to work under him at Uhuru. Because of his professional demeanour, he is a very well-known figure in Dar es Salaam and is welcomed enthusiastically wherever he goes.

The Second SalvaThe Mystery of Salva The State House Aide
There is the Salva Rweyemamu from Habari Corporation who is a very different sort of person. He is a fighter and a defender of the journalism profession. He loves his country and is a very dependable patriot. He was more than willing to directly engage his best friend, the then-third phase president, Benjamin William Mkapa, when the two differed on matters of principle.

The Salva from Habari Corporation is among those people commonly referred to in Tanzania as "maskini jeuri," literally translated as ‘bold and proud poor people.' These kinds of people never give in under pressure or turn back even under very difficult times.

He is the one who joined his friends including Johnson Mbwambo, Gideon Shoo, Jenerali Ulimwengu, and other close confidants like John Bwire to set up a third publishing house in Tanzania in the early eighties. Salva and his group of friends refused to bow to the government, which was facing many accusations of impropriety at the time.

It reached a point when the Salva from Habari Corporation and their publishing house were blacklisted from receiving advertising subsidies from the government, the biggest advertiser in the country.

Without revenue from advertising, they couldn't pay their employees including journalists, who were consequently unable to travel upcountry to cover major events. All together, Salva and his colleagues stood firm, worked overtime to enforce journalism ethics, and as a result, respect for their integrity soared.

By standing up to a government that we now know was very corrupt, they were a good example of local journalists, entrepreneurs, and patriots.

The Third Salva
The final Salva is Salva the public relations officer (PRO). This final Salva's integrity is a bit more problematic than the other two. He is often found where there are allegations of embezzlement of public funds and private companies doing business in Tanzania. Or he can often be found lecturing anyone who will care to listen about the positive sides of ill-conceived government contracts, even when many others are strongly opposed to such campaigns.

I am not much interested in further discussing the third Salva, because his job was, and is, to sweeten government dealings with companies, many of whom are stealing money from the public coffers. His job is clearly to talk well of his masters. To him, Richmond Development Corporation (RDC), Independent Power Tanzania Limited (IPTL), the National Bank of Commerce (NBC) contracts, and the Bank of Tanzania (BoT) scandals are positive things that happened to this nation.

I wouldn't be surprised if he saw nothing wrong wit the controversial multimillion shilling Buzwagi mining contract which was negotiated and signed abroad by the Energy and Minerals Minister, Nizar Karamagi. After all, his primary concern is his paycheck. In this Salva's thinking, those who pay have earned the right to be respected.

So Which Salva?
That said, I would now like to ask my colleagues-those who are hopeful that our State House Directorate of Communications is now being manned by a skilful, clever and objective person-just one question. Which Salva or Rweyemamu are they referring to? Is it the Salva who worked for Uhuru and Mzalendo, the Salva who worked for Habari Corporation, or the Salva who has sacrificed his integrity in his position as a public relations official?

If I had the opportunity to decide, I would direct that the Salva who worked at Uhuru and Mzalendo take the director's seat in the communications department at State House. I would choose him over the Salva from Habari Corporation because of the latter's initial support for Mkapa only to turn on him later.

So, if the Salva Rweyemamu from Uhuru and Mzalendo is indeed the one appointed to be the director of communications at State House, expectations should remain high because then discrimination against journalists, even those from Kulikoni and Thisday, will end.

The Salva from Uhuru and Mzalendo is knowledgeable and knows that it is best to treat others with respect on your way to the top, because you never know when you might need them on your way down. He also knows that Tanzania is not only for those with power, but rather it is for all and that no individual, not even the president, is more Tanzanian than another.

But if, God forbid, Salva the PRO is the one who has clinched the directorship of Communications Department at State House, then we have everything to fear.
New minister had run-ins with press[+] ET correspondent
 
Salva amefufuka?maana baada ya ile barua yake kuwa wazi....akaona akae kimya na atafute shule fasta ili issue ipungue nguvu.....maisadi kiboko jamani....Pole Salva....huna tena makali yako yale ya unyambuzi wa makala......
 
kuna maeneo mengi sana ambayo jakaya ALICHEMKA SANA katika teuzi zake!but some areas of concetrations,periphelar ones THE SITUATION IS EVEN WORSE!..INCLUDING UTEUZI WA P.R.O SALVA!

i have finally confirmed that kuna baadhi ya teuzi kama ya huyu salva,(wapo wakina nchimbi hapa) IT WAS AN AGREEMENT WAKATI WA CAMPAIN!kwamba ''niwezeshe-nikuwezeshe'' and now...........

.......anyways,as far as the times are concerned naweza sema hii ni KUELEKEA 2010!NI SEHEMU TU YA KAMPENI
 
Acha kuwa apologist wa Salva.

Salva mwenyewe hajaja kuikana hiyo piece. Kuna barua ya Salva ililetwa hapa, jamaa mtupu kuanzia concepts, maadili mpaka lugha.

Hebu lete pieces zake unazoziamini tuziangalie hapa. Hizi habari za kuleta u fan hazitakiwi hapa JF. Salva hana uwezo wa kusifiwa kiasi hicho wala nini, huwezi kumuweka up there na watu wanaojenga hoja kisomi na kwa kutumia references za nguvu kama Jenerali Ulimwengu. Jenerali hata kama hukubaliani naye unaona huyu mtu arguments anazo na anajua kuzijenga, tena na varied resources, ukimsoma unaona kabisa huyu mtu ni well read, anaelewa issues na ana a wealth of knowledge from a very global perspective.

Huyu Salva hata hapo kwenye magazeti ya Rostam hakustahili, ni mjanja mjanja fulani tu.Halafu kinachoshangaza ni mtu wa siku nyingi sana going back to the days of the Mkapas, Sammy Mdees, Kanyama Chiumes, Ibrahim Kadumas, Uli Mwambulukutus na Jenerali Ulimwengus, enzi ambazo kina Kikwete pado wanapenga makamasi kwenye vishati Kibaha huko, lakini leo hii badala ya kumsaidia clueless Kikwete, yeye ndiye anasaidia kuharibu zaidi.

Mkuu hata huyo unayesema alikuwa hafai naona ni much better kuliko huyo anayetoa hoja ambazo hazijaenda shule, unajua kuna level fulani a watu ambao tunawez kuwaita laymen au ambao wanajikomba kwa fulani ndio wanaweza kutoa hoja mufilisi kama zinazosemwa zimetolewa na Salva. That is what i am trying to say, i am not his apologist just trying to neutral.
 
lakini wana JF kwanini lipumba asiende kugombea ubunge WETE huko PEMBA mi naona yeye na chama chake huku Bara hoi namuomba akajaribu chakechake, wete au wawi kwani akigombea ubunge hata tabora kwao atakosa he is tired enough politicaly to have a sleep rest in pemba.


Sure sure! Lipumba kachoka sana! hata anavyo argue siku hizi mtu unaweza kuquestion hata usomi wake! kwake dini ni zaidi ya yote! kwa mfano waraka nimeusoma lengo lake kuu ni kuelimisha watanzania juu ya haki zao za msingi, utu wao, na juu ya katiba ya nchi ili kila mtu aijue na irekebishwe pale pasipofaa na kwamba katikba si mali ya kikundi, au chama aus erikali fulani iliyoko madarakani bali ni ni juu ya sheria na ipo kwa kila mtanzania na hivyo itizamwe ili iwe yenye ufanisi sasa hapa ubaya wake ni nini? Hadi Lipumba kuja juu na kusema ......

Walipoguswa mafisadi kama RA kwa kuwa ni .... m.. Lipumba alikuja juu!!

wakati umefika sasa aende akagombee ubunge huko aone kama hata kura moja watampatia huko pemba!

Chako chao chao chao!!!
 
Yah: Salva Rweyemamu amjibu Lipumba...

Nadhani majibu ya Salva ni sahihi. Gazeti la MwanaHalisi lilichapisha makala hiyo ya Lipumba kuwa Kikwete ameshindwa( yakiwa ni maoni ya Lipumba) na Salva amejibu kupitia gazeti hilo kuwa aliyeshindwa ni Lipumba kwa kuwa Chama chake cha CUF hakina kiti Tanzania Bara, kimekuwa mshindwaji mzoefu katika Chaguzi na kwamba kimejijenga Pemba tu, kwa sababu zinazofahamika. JK hajashindwa. Kwamba watu sasa wanapata hata nafasi ya kidemokrasia ya kutoa maoni yao, kama haya, kma Mahakama ya Kadhi, Manifesto ya Wakatoliki n.k. na sivyo kama ilivyokuwa hapo nyuma, peke yake ni ushindi! Kuna hatua zimepigwa katika Elimu (Chuo Kikuu cha Dodoma na vingine 32 nchini kote, badala ya UDSM peke yake ilivyokuwa awali, na kwamba angalau vijana wengi sasa waliokuwa wawe mitaani sasa wanaingia Sekondari na wanafurahi); Afya (kuna zahanati karibu kila kijiji) Barabara, (karibu mikoa yote sasa inaunganishwa kwa lami) na katika nyanja nyingi. Msizisahau foleni za unga, vitambaa vya "Crimplene", hakuna TV, Radio moja tu RTD, na barabara za mashimo hata Samora Ave. pale Dar!, ukitaka kusafiri nje mpaka upate kibali Ikulu, "Forex" hakuna, ukiingiza TV unakamatwa, "Fridge" ni "luxury", vijijini wananchi wanavaa viroba, n.k.!

Bwassa
Mkuu sijui unaongea nini, au sijui kama kuna kitu unaelewa kilichotokea kwenye nchi yetu kwenye miaka 20 iliyopita, 5 ya Mwinyi, 10 ya Mkapa na 5 ya JK. Huyu Salva kama ni kweli ndiye anayeongelewa basi asingeweza hata kusema haya unayotaja ni mafanikio ya Kikwete, kwa sababu katika hiyo miaka 20 alikuwepo na alikuwa kwenye media makini na alikuwa mwandishi makini. Kama ni kujaa kwa vitu ni soko huria aliloanza nalo mzee Mwinyi ambalo lilisukumwa na mipango ya Structural Adjustments Programmes za WB/IMF, sio JK, kama mambo ya shule na Zahanati ni Mkapa na timu yake ndio waliofanya kazi mpaka sasa tunaona zahanati hizi na utekelezaji wa mpango wa MMEM,MEMKWA, MKUKUTA na mingine mingi ni Mkapa na timu yake sio JK. Kama waraka wa wakatoliki sio mara ya kwanza kutolewa na serikali haijawahi kukataza, kuwa na Radio nyingi ambazo zote kazi yake ni kutuma salamu kwa njia ya simu na kuburudisha watu huwezi kumpa sifa mtu kwa kitu kama hicho hakuna mtu mwenye kujua umuhimu wa media na kuifanya iwe holela na kuwalewesha watu kwa burudani ili wasiweze kujadilia mambo ya maana kama sasa,ndio maana unaona wenye akili wako hapa JF. Hata hivyo sio JK ni toka enzi za Ruksa, Mkapa, hapa labda mtoto ndio anaweza kuzugwa. Cha Kumsifu Kikwete ni timu ya taifa ya soka inavyoimprove na attempt ya kuileta timu ya Real Madrid, lakini hayo yote sio yake. Hata Mahakama ya kadhi ni Mrema sio JK. Let us get things straight
 
Back
Top Bottom