Salvatory Edward Vs Shekhan Rashid

Salvatory Edward Vs Shekhan Rashid

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kwa wale wapenzi wa soka wa zamani, umepewa nafasi ya kuchagua mmojawapo ili kikosi chako kitimie, kati ya Shekhan na Salvatory nani unampa nafasi katika timu yako?
 
FORTALEZA jukwaa hili la michezo ningependelea tuwe na video za hao watu au picha !! ni ushauri tu mkuu unakumbuka hii
 
Attachments

  • 1YK3992V6n3wldkv.mp4
    1.1 MB
Shehan Rashid anachomzidi Salvatory Edward ni kwenda Sweden kufanya kazi ya kubeba watoto (uyaya).
Kwa wale wapenzi wa soka wa zamani, umepewa nafasi ya kuchagua mmojawapo ili kikosi chako kitimie, kati ya Shekhan na Salvatory nani unampa nafasi katika timu yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona siwaoni youtube
 
Kwa wale wapenzi wa soka wa zamani, umepewa nafasi ya kuchagua mmojawapo ili kikosi chako kitimie, kati ya Shekhan na Salvatory nani unampa nafasi katika timu yako?
Shekhan Rashid alikuwa fundi sana kuliko huyo Salvatory Edward.

Ukitaka kaangalie squad ya simba ya 2002/3 uone kama huyo Edward angeweza kutoboa hata first 11 ya simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shekhan Rashid alikuwa fundi sana kuliko huyo Salvatory Edward.

Ukitaka kaangalie squad ya simba ya 2002/3 uone kama huyo Edward angeweza kutoboa hata first 11 ya simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shekhan Rashird alicheza na kung'ara kwa muda mfupi sana, sidhani kama inaweza kuzidi misimu mitatu. Kwa hivyo si rahisi kumlinganisha na mchezaji aliyecheza kwa kiwango kama chake lakini kwa misimu zaidi ya minane. Kwa vyovyote Salva atakuwa juu. Kipimo sahihi cha Salva ni akina Chambua, Marsha, Matola etc.
 
Salva alingara tangu club ya Sigara, kabla hajagombewa na simba na yanga, ndio yanga wakashinda kumnyakua. kadumu mda mrefu sana kwnye soka kwa kiwango cha juu kuliko shekhn aliengara nadhani msimu mmoja tu

alikuwa na mambo mengi sana, alikuwa anachenga, ana mawe kwa umbali mrefu, ana nguvu humwangushi kijinga nk
 
Kumfananisha shekhan Rashid na Salvatory Edward ni jambo la kipuuzi. Shekhan yupo katika daraja lakati la kina fei toto, boban, Chuji, Salum Abubakar, Mudathir Yahaya n.k.Yaani si wachezaji wa kutisha ila walijaribu kufabya vizuri.
Salvatory alikua ni mchezaji wa daraja la juu kwa wachezaji walio wai kutokea katika ligi ya bongo yupo katika daraja moja Ally Maumba, Marsha, Dadi athumani , Sekirojo chambua, Athumani China, Method Mogela, Issa athumani, Yusufu Macho n.k kuna umbali mkubwa wa viwango kati yao.

100% uko sahihi! Salva alikuwa mtu na nusu! Anakaba, anaasisti na kufunga, na mchango wake kwa Yanga na Taifa ni mkubwa na wa muda mrefu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom