Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #21
Kumfananisha shekhan Rashid na Salvatory Edward ni jambo la kipuuzi. Shekhan yupo katika daraja lakati la kina fei toto, boban, Chuji, Salum Abubakar, Mudathir Yahaya n.k.Yaani si wachezaji wa kutisha ila walijaribu kufabya vizuri.
Salvatory alikua ni mchezaji wa daraja la juu kwa wachezaji walio wai kutokea katika ligi ya bongo yupo katika daraja moja Ally Maumba, Marsha, Dadi athumani , Sekirojo chambua, Athumani China, Method Mogela, Issa athumani, Yusufu Macho n.k kuna umbali mkubwa wa viwango kati yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuwekaje Boban kundi moja na Fei Toto?