enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 341
ni mtu anayejiamini af anajua kutumia verbal communication(ishara)kufikish ujumbekwa kigezo kipi?!!ili niungane na wewee!!
Ni kweli yuko poa sanani mtu anayejiamini af anajua kutumia verbal communication(ishara)kufikish ujumbe
masako bado sanaSura nzuri kuliko my handsome masako au unatutafuta ubaya sisi team masako
Anamuiga mkenya mmoja anaitwa Jeff koinange.bila shaka mnaotizama itv mtakubaliana na mimi kwamba sam mahela ndo mtangazaji bora itv kwa sasa baada ya kuondoka godwin gondwe na isack gamba pamoja na emmanuel boholela,ameweza kukiendesha vyema kipindi cha dk 45 na jinsia anavyotoaga report.kijana yuko vzr kwakweli
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]Ni mtangazaji mbovu kuwahi kutokea ITV jamaa ana mihemko ya ajabu hana ubunifu wa ziada hata chembe
Daah Gondwe kahama ITV?[emoji22] [emoji22] sina habari yuko channel gani nijuzeni, pia Isack Gamba anawakilish vyema DW.. Kuhusu Sam Anajitahidbila shaka mnaotizama itv mtakubaliana na mimi kwamba sam mahela ndo mtangazaji bora itv kwa sasa baada ya kuondoka godwin gondwe na isack gamba pamoja na emmanuel boholela,ameweza kukiendesha vyema kipindi cha dk 45 na jinsia anavyotoaga report.kijana yuko vzr kwakweli
ni mtu anayejiamini af anajua kutumia verbal communication(ishara)kufikish ujumbe
mhhh!hakuhama alipewa ukuu wa wilaya mkoani tanga,buholela yuko pale ikulu kama mwana habariDaah Gondwe kahama ITV?[emoji22] [emoji22] sina habari yuko channel gani nijuzeni, pia Isack Gamba anawakilish vyema DW.. Kuhusu Sam Anajitahid