Sam mahela ndo mtangazaji mzuri kuliko wote ITV!

Sam mahela ndo mtangazaji mzuri kuliko wote ITV!

enock yusto

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
377
Reaction score
341
Bila shaka mnaotizama ITV mtakubaliana na mimi kwamba Sam Mahela ndio mtangazaji bora ITV kwa sasa baada ya kuondoka Godwin Gondwe na Isack Gamba pamoja na Emmanuel Buholela, ameweza kukiendesha vyema kipindi cha Dk 45 na jinsia anavyotoaga report.

Kijana yuko vizuri kwa kweli
 
Ni kwa vile hana competitor hapo ITV, ila ni mbovu na mtu wa mihemko ya kujilazimisha.
 
Abdallah Mwaipaya namkubali sana, Ukweli ITV kwenye upande WA watangazaji wako poa. ABDALLAH MWAIPAYA, J SILEM, SHAMIM MLACHA,SAM MAHELA, S LAMECK wako poa. Kero iko Star TV na TBC hawana ubunifu
 
bila shaka mnaotizama itv mtakubaliana na mimi kwamba sam mahela ndo mtangazaji bora itv kwa sasa baada ya kuondoka godwin gondwe na isack gamba pamoja na emmanuel boholela,ameweza kukiendesha vyema kipindi cha dk 45 na jinsia anavyotoaga report.kijana yuko vzr kwakweli
Anamuiga mkenya mmoja anaitwa Jeff koinange.
 
.. unatmia nguvu mno kutoa maneno.. zat y somtime huwa ana stakh.. but yeaah anajitahid wala sio bora kuliko wote ITV
 
bila shaka mnaotizama itv mtakubaliana na mimi kwamba sam mahela ndo mtangazaji bora itv kwa sasa baada ya kuondoka godwin gondwe na isack gamba pamoja na emmanuel boholela,ameweza kukiendesha vyema kipindi cha dk 45 na jinsia anavyotoaga report.kijana yuko vzr kwakweli
Daah Gondwe kahama ITV?[emoji22] [emoji22] sina habari yuko channel gani nijuzeni, pia Isack Gamba anawakilish vyema DW.. Kuhusu Sam Anajitahid
 
Back
Top Bottom