Sam mahela ndo mtangazaji mzuri kuliko wote ITV!

Kuna yule dada farhia nayeye yuko vzur sana
 
Spensa Lameck....
 
Yule jamaa na m-suspect anaufukuzia ukuu wa wilaya ama wa mkoa.
 
Daah Gondwe kahama ITV?[emoji22] [emoji22] sina habari yuko channel gani nijuzeni, pia Isack Gamba anawakilish vyema DW.. Kuhusu Sam Anajitahid
mkuu wa wilaya handeni sasa hv!
 
Mi cjaona chochote,
Maswali yake kwenye kipundi cha dk45 nimaswali yakupanga,hayana mpango wowote.
Hawez kufanya selection kulingana na wakat husika.

##mi nahic ktk vijana wanaosimamia malumbano yahoja kuna KICHWA PALE kikipewa hadhi kitaonyesha cheche zake##
 
Kama SAM angekuwa yupo vizuri angekuwa anafanya LIVE SHOW,
Sam bado sana, anachokifanya Sam hata wewe ukiandaliwa utafanya, ile nikama Movie/action&cut.

Sam hawafikii hata wasimamiz wamalumbamo yahoja.

Sama anaandaa kipind wiki nzima kwenye sheet yake, hana maswali yanyongeza nje ya aliyoyaandika.

Alaf kipind kinafanyika kwawiki mara moja, vipi kingekuwa kinafanyika kila siku kama cha mukhsin mambo na albert kilala?
 
Ni mtangazaji mbovu kuwahi kutokea ITV jamaa ana mihemko ya ajabu hana ubunifu wa ziada hata chembe
Uko sahihi, ana tatizo moja kubwa sana, huwa anaingia katikati ya stori/mahojiano-kwenye mahojiano huwa anajigeuza mhojiwa, na kwenye stori huwa anageuka kuwa chanzo cha habari-nahisi hana elimu ya kutosha ya uandishi wa habari!
 
Abdallah Mwaipaya namkubali sana, Ukweli ITV kwenye upande WA watangazaji wako poa. ABDALLAH MWAIPAYA, J SILEM, SHAMIM MLACHA,SAM MAHELA, S LAMECK wako poa. Kero iko Star TV na TBC hawana ubunifu

tbc wapo pia watangazaji mahiri kina gabriel zakaria isipokuwa watu walishazila kuingalia tbc kutokana na mipangilio mibovu ya tv
 
Abdallah Mwaipaya namkubali sana, Ukweli ITV kwenye upande WA watangazaji wako poa. ABDALLAH MWAIPAYA, J SILEM, SHAMIM MLACHA,SAM MAHELA, S LAMECK wako poa. Kero iko Star TV na TBC hawana ubunifu
Tbc ndio ushuzi kabisa wapo hivyohivyo miaka nenda rudi utafikiri wanafunzi wapo field.
 
kama ndie mtangazaji bora mbona mtukufu kamchukua buhohela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…