me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Hahaa kumbe G ni DC?? Hongera yake katoka mbali Sana huyu jamaamhhh!hakuhama alipewa ukuu wa wilaya mkoani tanga,buholela yuko pale ikulu kama mwana habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa kumbe G ni DC?? Hongera yake katoka mbali Sana huyu jamaamhhh!hakuhama alipewa ukuu wa wilaya mkoani tanga,buholela yuko pale ikulu kama mwana habari
wapi nimeshindwa kutofautisha matumizi ya HA na A mkuu?Atofautishe matumizi ya HA na A
Spensa Lameck....bila shaka mnaotizama itv mtakubaliana na mimi kwamba sam mahela ndo mtangazaji bora itv kwa sasa baada ya kuondoka godwin gondwe na isack gamba pamoja na emmanuel boholela,ameweza kukiendesha vyema kipindi cha dk 45 na jinsia anavyotoaga report.kijana yuko vzr kwakweli
Yule jamaa na m-suspect anaufukuzia ukuu wa wilaya ama wa mkoa.bila shaka mnaotizama itv mtakubaliana na mimi kwamba sam mahela ndo mtangazaji bora itv kwa sasa baada ya kuondoka godwin gondwe na isack gamba pamoja na emmanuel boholela,ameweza kukiendesha vyema kipindi cha dk 45 na jinsia anavyotoaga report.kijana yuko vzr kwakweli
mkuu wa wilaya handeni sasa hv!Daah Gondwe kahama ITV?[emoji22] [emoji22] sina habari yuko channel gani nijuzeni, pia Isack Gamba anawakilish vyema DW.. Kuhusu Sam Anajitahid
mhhh!hakuhama alipewa ukuu wa wilaya mkoani tanga,buholela yuko pale ikulu kama mwana habari
Hivi Masako amestaafu?masako bado sana
Uko sahihi, ana tatizo moja kubwa sana, huwa anaingia katikati ya stori/mahojiano-kwenye mahojiano huwa anajigeuza mhojiwa, na kwenye stori huwa anageuka kuwa chanzo cha habari-nahisi hana elimu ya kutosha ya uandishi wa habari!Ni mtangazaji mbovu kuwahi kutokea ITV jamaa ana mihemko ya ajabu hana ubunifu wa ziada hata chembe
Abdallah Mwaipaya namkubali sana, Ukweli ITV kwenye upande WA watangazaji wako poa. ABDALLAH MWAIPAYA, J SILEM, SHAMIM MLACHA,SAM MAHELA, S LAMECK wako poa. Kero iko Star TV na TBC hawana ubunifu
Ukweli kabisaaaaAna element za Lumumba!!!
Tbc ndio ushuzi kabisa wapo hivyohivyo miaka nenda rudi utafikiri wanafunzi wapo field.Abdallah Mwaipaya namkubali sana, Ukweli ITV kwenye upande WA watangazaji wako poa. ABDALLAH MWAIPAYA, J SILEM, SHAMIM MLACHA,SAM MAHELA, S LAMECK wako poa. Kero iko Star TV na TBC hawana ubunifu
Umemaliza.Ni mtangazaji mbovu kuwahi kutokea ITV jamaa ana mihemko ya ajabu hana ubunifu wa ziada hata chembe