Sam Misago embu punguza uroho na ujirekebishe unapokuwa live FNL

Sam Misago embu punguza uroho na ujirekebishe unapokuwa live FNL

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,801
Reaction score
6,806
Habari za wikiendi

Jana tarehe 9/12/2016 kwenye kipindi cha FNL-FRIDAY NIGHT LIVE kwa mara ya kwanza nilikiangalia mwanzo mpaka mwisho. sasa sikujua kama ndo tabia au ndo yashakua mazoea.

kilichoniuzi sam alimfuata yule vixen wa wimbo wa muziki akamshika kwa kiuno(alivaa nguo nyeusi) alafu akambinya mpaka yule dada akasogea pembeni. baadaye kwa watu tunaoelewa saikolojia ya mtu ata akiwaza huwa tunajuaga yule dada alikosa amani akawa kapanic sana. mwanzoni kama mtakumbuka yule dada alikuwa anajiachia ila baada ya kitendo kile yule dada mood ikaisha kabisa. japo alijiachia mwishoni
kingine ni swala la kushikana viuno huku anakibinya binya. hii sio tabia nzuri. sijapendezwa nalo kabisa kwa mtindo huu mimi hili swala la FNL bora niwe nasikiliza kwenye redio.

Alafu sam acha uroho. najua macho hayafichi. ukiangalia mtu tunajua umetamani, dharau.... embu ficha basi udhaifu wako usiuonyeshe ki hivyo.... maadui wako watakuangamiza.... nikiangalia macho yako najua jirekebishe

nisamehe kama nimekukosea... asante
 
Inawezekana wewe ndo una uroho
umewaona hao wadada kama 'vipusa'

ukweli video vixens wengi wa bongo fleva ni wajasiriamwili

hawanaga deal sana kwa watu wanao wajua

wanaingiza kingi wasiowajua tu

sasa Sam kuwepo kwenye hiyo industry sidhani kama hawajui vizuri

but then again labda kweli nae anapapatika akiwaona
 
sam anabambia mpaka naonaga aibu
 
Tatizo ni umri.

Kwa umri wako ni kujishushia heshima kuendelea kuangalia kile kipindi.Kile kipindi ni kwa ajili ya vijana.

Sisi vijana ndio mambo yetu yale na tunapenda michezo ya namna ile we endelea kuangalia taarifa ya habari.
 
Kama anazingua ww hamia CMG mambo kibao kule yanatiririshwa tu
 
Inawezekana wewe ndo una uroho
umewaona hao wadada kama 'vipusa'

ukweli video vixens wengi wa bongo fleva ni wajasiriamwili

hawanaga deal sana kwa watu wanao wajua

wanaingiza kingi wasiowajua tu

sasa Sam kuwepo kwenye hiyo industry sidhani kama hawajui vizuri

but then again labda kweli nae anapapatika akiwaona

Sio on air mnapapasana mnakaliana mpaka mmoja aliyekaliwa naona alidinda mpaka akasogeza mashime pembeni...
 
mimi aliniboa yule kaka mwenye mdomo kama demu!!
wakaka wengine sijui vipi?!!! jamaa aliboa
 
Kipindi kilikuwa kizuri sana kipindi cha Sebo...!! Sam siyo mbunifu kabsa..but ni bora niangalie kipindi cha Sam kuliko wale wa puuzi WA shilawadu
Daah we mkongwe.sebo ilikuwa balaa Yule jamaa.ilikuwa hukosi kuangalia
 
Kipindi kilikuwa kizuri sana kipindi cha Sebo...!! Sam siyo mbunifu kabsa..but ni bora niangalie kipindi cha Sam kuliko wale wa puuzi WA shilawadu
Kuiga kwa mno,wamezidi umbea kama mag.
 
Back
Top Bottom