Habari za wikiendi
Jana tarehe 9/12/2016 kwenye kipindi cha FNL-FRIDAY NIGHT LIVE kwa mara ya kwanza nilikiangalia mwanzo mpaka mwisho. sasa sikujua kama ndo tabia au ndo yashakua mazoea.
kilichoniuzi sam alimfuata yule vixen wa wimbo wa muziki akamshika kwa kiuno(alivaa nguo nyeusi) alafu akambinya mpaka yule dada akasogea pembeni. baadaye kwa watu tunaoelewa saikolojia ya mtu ata akiwaza huwa tunajuaga yule dada alikosa amani akawa kapanic sana. mwanzoni kama mtakumbuka yule dada alikuwa anajiachia ila baada ya kitendo kile yule dada mood ikaisha kabisa. japo alijiachia mwishoni
kingine ni swala la kushikana viuno huku anakibinya binya. hii sio tabia nzuri. sijapendezwa nalo kabisa kwa mtindo huu mimi hili swala la FNL bora niwe nasikiliza kwenye redio.
Alafu sam acha uroho. najua macho hayafichi. ukiangalia mtu tunajua umetamani, dharau.... embu ficha basi udhaifu wako usiuonyeshe ki hivyo.... maadui wako watakuangamiza.... nikiangalia macho yako najua jirekebishe
nisamehe kama nimekukosea... asante