Sam Misago embu punguza uroho na ujirekebishe unapokuwa live FNL

Sam anavyobambia anawapa mzuka sana maawla wa kitaa!
Sam ni mtu wa kuigwa!
Sam baba lao!

Sam kama faru "john"

Sam ndio faru john wengine digidigi
 
Wacha wivuu..kwanza ndo siku ya kwanza umeangalia nashangaa waongea kama umekiangalia miaka 100. . Hii jamaa itakuwa Shilawadoooooo
 
Kuna matusi mapya nimeyaona hapo juu naomba mwenye hati miliki ya hayo matusi anipe na mimi "mkundugu"
 
mapovu... mwachie mwenye kisu ale.nyama nawewe cheza ligi yako vitu vingine viangalie tu

Nashangaa wakina mwajuma ndala ndefu wamejaa huko Goba , kashindwa kuwashika viuno anamwonea wivu sam
 
Reactions: G 6
Wivu tu, tatizo mnavamia kuangalia vipindi msivyojua maudhui yake
 
Mbona umeomba akusamehe? Hujakosea Sam liroho sana la mapenzi, linaonyesha uzaifu wake mbele ya camera hajui yupo live, aaaaa aache twabia mbaya, FNL inakufa
 
Kipindi kilikuwa kizuri sana kipindi cha Sebo...!! Sam siyo mbunifu kabsa..but ni bora niangalie kipindi cha Sam kuliko wale wa puuzi WA shilawadu
Ivi awa clouds media, yule shilole wanampa pesa ya kufanya upuuzi wake
 
Tatizo ni umri.

Kwa umri wako ni kujishushia heshima kuendelea kuangalia kile kipindi.Kile kipindi ni kwa ajili ya vijana.

Sisi vijana ndio mambo yetu yale na tunapenda michezo ya namna ile we endelea kuangalia taarifa ya habari.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…