Mkuu swala la kufanana sauti plus style kwenye mziki ni kitu cha kawaida kutokea. Na ndio maana hakuna kesi iliyowahi kufunguliwa kuhusiana na hizo mambo. I bet utakua unawajua Future na Disigner(Panda) .. Hawa jamaa wanafanana karibia kila kitu lakini haijawahi kuwa Big issue huko State.Namshauri atafute style yake kama anavyofanya rayvan
chilawadu wapo juu wewe shirika la wambea duniani KWETU MBEYA NAMI NI MMBEYAWatz tumezidi lawama hv fnl na hawa shilawadu kina nani wanabore mambo yao? au kwakuwa wanaelekea kwenye ugawaji wa tuzo ? tubadilike bana kwenye ukweli tuambizane ukweli
pole nawewe..!Pole mkuu na najua familia yenu ya wasafi mmeumia kweli kweli kutokuwemo kwenye hizi tuzo wakati wenyewe mmeleta pozi kujaza fomu.
Sasa naona mmeamua kuungana ili Tuzo iende kwenye Shetta ila kwa akili ya kawaida tu Nurdin Shetta anaweza kupata Tuzo mbele ya Ali?!
Mkuu swala la kufanana sauti plus style kwenye mziki ni kitu cha kawaida kutokea. Na ndio maana hakuna kesi iliyowahi kufunguliwa kuhusiana na hizo mambo. I bet utakua unawajua Future na Disigner(Panda) .. Hawa jamaa wanafanana karibia kila kitu lakini haijawahi kuwa Big issue huko State.
Sawa mamaUanze ww kujirekebisha kuandika kwanza
Hata the Beatles.Mkuu swala la kufanana sauti plus style kwenye mziki ni kitu cha kawaida kutokea. Na ndio maana hakuna kesi iliyowahi kufunguliwa kuhusiana na hizo mambo. I bet utakua unawajua Future na Disigner(Panda) .. Hawa jamaa wanafanana karibia kila kitu lakini haijawahi kuwa Big issue huko State.
as long as ana mashabiki tena wengi tu hizo principles zako haziexist... Wanaomcopy Diamond nchi wengi sana. Lakini kwanini anasikika yeye tu? what's so special about him? is it only about copying? kama kufanana na Diamond kunampa mashabiki na kumletea pesa kwanini abadilike? Em jaribu kutumia elimu yako ya chuo kikuu hiyo si itakua biashara kichaa?unatakiwa utumie akili tu hata ya darasa la nne,
sasa harmonize wa nini kama ladha zote na style zote anazofanya tunazipata kwa diamond?
think critically.
wale jamaa wa clouds nini ha ha ha ha ha haKuna kipindi cha kimbea mbea muda kama huo wa FLN basi uwe unajiunga nao.
Ndio anamuiga kila kitu,na hajafunja sheria za nchi wala za burudani na si kosa popote pale duniani. Na tupo wengi tu tunaopenda anavyomuiga na ndio maana anapata pesa na maisha yake yanasonga.Kwani uongo Harmonize hamuigi Diamond kila kitu hadi kunyoa kiduku?
Wewe huongei ukweli,ila unapotosha kwa kitu unachokijua. Hebu mwenyewe sema,Sam ni mtangazaji wa TV iliyoandaa hizo tuzo hatakiwi kuwahoji wasanii kama vile wao tayari wana mtu wao,maswali yale angekuwa sio wao ndio waandaaji alikuwa sahihi,lakini wao ndio waandaaji hawatakiwi kuwahoji wasanii kwa stahili ya kama tayari wamemuandaa mtu wao.Watz tumezidi lawama hv fnl na hawa shilawadu kina nani wanabore mambo yao? au kwakuwa wanaelekea kwenye ugawaji wa tuzo ? tubadilike bana kwenye ukweli tuambizane ukweli
Tuzo za mchangan hizoNimekuwa nikifuatilia sana hiki kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa kila Ijumaa ya wiki usiku na Sam Misago. Kumekuwa na interview za wasanii mbalimbali lakini nimegundua hiki kipindi ni jipu kwa wasanii wetu!!!
Anachokifanya Sam ni ujinga wa hali ya juu ambao hauwezi kuvumilika! Kama kuna wadau wengine huwa wanafuatilia hiki kipindi mtakuwa mmegundua na kuona nini kinachoendelea!!
FNL ya juzi kama uliona Shetta alikuwa ana interview kwenye hicho kipindi na Sam lakini Sam alionesha kutomkubali kabisa Shetta kutokana na maswali aliyokuwa anamuulizaa! Swala la EATV Awards, Sam alionekana kumkandia sana Shetta na kuonesha waziwazi kuwa katika vipengele alivyopo Shetta ni kama hawezi kuchukua tuzo kwa sababu fulani yupo! SHAME ON U SAM!
Wewe ndiye unayeamua mshindi au kura ndo zinaamua? Na kama mnajua fulani ndo atakuwa mshindi, ya nini kuweka usiku kwanini msimpe Tuzo aendeee? Kwanini kuna mashindano?
Shetta alipoteza kabisa 'mood' juzi kutokana na Sam. Kwa walioona watakuwa mashahidi wa hayaa. Sijui ni kukosaa taaluma ya utangazaji au la, lakini hii sio maara ya kwanza kwa Sam. Nakumbuka kuna siku Harmonize alikuwa na Interview FNL, Sam alikomaa na Swala la Harmonize kumuiga Diamond hadi Harmonize akapanic maana anajibiwa lakini interview nzima ni kama alimuitia kumuuliza hilo swalii!
Sam na FNL yake sio hayoo tu, yapo mengi lakini kwa hili la juzi ni wakati wa wasanii sasa Kukisusia hiki kipindiii kwa alivyofanyiwa Shetta!!! Na kwa maswali yale, ningemuomba Shetta kiutu uzimaa ajitoe kabisa katika kuwania tuzo hizi za AETV awards!! Maana aliabishwa kuwa hawezi shindana na Mwafulani!!!
Sam kama upo hapa na unasoma haya au jamaa ake yeyote wa karibu amfikishie taarifa nafikiri kungekuwa kuna kupiga simu kipindi cha juzi Sam angekoma!! Utangazaji bila taaluma matokeo yake ndo hayo.
Nifah ukiwa huku unajitoa akili sana,ishu sio aseme ukweli au hasiseme ukweli,hayo ni matatizo yake hayawazuii watu kushabikia wanachokishabikia,ila hoja ambayo iliyopo ni KWASABABU WAO NI WAANDAAJI WA HIZO TUZO HAWATAKIWI KUWAHOJI WASANII KAMA VILE WANAJISUMBUA KWA KUJIINGIZA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA TUZO ZAO.(maana alivyokuwa anamuhoji Shettah ni kama vile alikuwa anamwambia acha kujisumbua sisi tunae mshindi wetu,lakini kama ulikiangalia kile kipindi.)Muacheni Sam aseme ukweli,mmezidi hamtaki ukweli usemwe.
Yeyote anayesema ukweli kuhusu hao WCB au wenye ukaribu nao anaoneka yupo upande wa Kiba.
Ukweli upi sasa anaousema .......... EATV NDIO WAANDAAJI WA HIZO TUZO,HALAFU SAM ANAMUHOJI MMOJA WA WASHIRIKI KAMA VILE WAO WAANDAAJI WANA MSHINDI WAO KITU AMBACHO SI SAHIHI,ILA INGEKUWA HIZO TUZO WAO HAWAKUZIANDAA BASI YALE MASWALI ALIKUWA SAHIHI MNO NA HATA MIMI NINGEMUONA WA MAANA.Nikisoma katikati ya mstari kuna kitu nakiona, Sam ni mkweli, so wasema ukweli huwa wanachukiwa.
Harmonize si muhimu kwako kama ulivyo wewe si muhimu kwake,yeye anafanya Muziki kutengeneza maisha yake,na Mungu anamjalia anandesha maisha yake fresh tu,anapiga shoo angekuwa si wa umuhimu WATU WASINGEKUWA WANAINGIA KWENYE SHOO ZAKE,MAANA ZINGINE ANAPIGA PEKE YAKE NA WATU NYOMI.unatakiwa utumie akili tu hata ya darasa la nne,
sasa harmonize wa nini kama ladha zote na style zote anazofanya tunazipata kwa diamond?
think critically.