DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Haiseee¡"mpenzi wangu alipost status eti kaachwa halafu sijamuacha mimi! nikajiuliza nani huyo anamuacha mpenziwangu!"
Balaa zito Hili😀Wanaume wa hivyo wapo kabisa.Kuna jamaa hapa job huyu jamaa ni mkubwa almost miaka 35-37 hivi.
Aliwahi kumtongoza demu muislam yule demu akamwambia badili dini jamaa akabadili kweli muda ule demu anajua jamaa hajaoa.
Demu akaendelea kukaza akimwambia jamaa kama yupo serious kweli basi aende kwao na demu akachumbie ...jama akaenda kuchumbia na tangu hapo akaanza kujilia tunda tu. Demu amekuja kujua mchizi ana mke na watoto wakubwa alichoka kabisaa kidogo demu aache kazi kwa aibu
Wanaume tukidhamiria jambo letu tunahakikisha tunalipata kwa njia yoyote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa hivyo wapo kabisa.Kuna jamaa hapa job huyu jamaa ni mkubwa almost miaka 35-37 hivi.
Aliwahi kumtongoza demu muislam yule demu akamwambia badili dini jamaa akabadili kweli muda ule demu anajua jamaa hajaoa.
Demu akaendelea kukaza akimwambia jamaa kama yupo serious kweli basi aende kwao na demu akachumbie ...jama akaenda kuchumbia na tangu hapo akaanza kujilia tunda tu. Demu amekuja kujua mchizi ana mke na watoto wakubwa alichoka kabisaa kidogo demu aache kazi kwa aibu
Jamaa anaitwa mgiliki.Alipomuuliza kumbe umeoa na una watoto akamwambia yaani nilikuwa nikikuona nachanganyikiwa hadi nikasahau kuwa nina familiaWanaume tukidhamiria jambo letu tunahakikisha tunalipata kwa njia yoyote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
dada yangu yeye alionyeshwa kabuli fake jamaa anadai mke ameshakufa na hakumuacha na watoto.Wanaume waongo sana, nakumbuka nikiwahi penda mtu yaani Ile sijiwezi kabisa na tulianza kama urafiki tu, yaani mapenzi ya kuanzia na urafiki huwa ni ya moto sana, baada ya mda nikajua ana mke na mtoto ila akamkana mke wake at amezaa nae tu, ikabidi niendelee nae tu ila mke wake kila siku kutukanana maana mwanaume nae alikufa akaoza kwangu. Baadae ikabidi niachie ngazi sema ndo nilitumia miezi kadhaa kukaa sawa
Jamaa aliimbisha mlokole akaambiwa ylaokoke ikabidi ajitie kaokoka kutwa na biblia na muda wako na binti wanaimba kwaya. Baada ya kufanikiwa na ulokole ukafa, maskini binti aliacha kazi kwa kisingizio kapata kwingineWanaume wa hivyo wapo kabisa.Kuna jamaa hapa job huyu jamaa ni mkubwa almost miaka 35-37 hivi.