Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Kuna watu hawajawahi ogopa hata kurogwa asee. Jiulize jamaa alitoka kahama Hadi mbeya Kwao na binti kwenda kuchumbia jiulize sasaJamaa aliimbisha mlokole akaambiwa ylaokoke ikabidi ajitie kaokoka kutwa na biblia na muda wako na binti wanaimba kwaya. Baada ya kufanikiwa na ulokole ukafa, maskini binti aliacha kazi kwa kisingizio kapata kwingine