Jamaa aliimbisha mlokole akaambiwa ylaokoke ikabidi ajitie kaokoka kutwa na biblia na muda wako na binti wanaimba kwaya. Baada ya kufanikiwa na ulokole ukafa, maskini binti aliacha kazi kwa kisingizio kapata kwingine
Ila duniani kuna maajabu sana,mimi nikiwa nashangaa kwamba huyu jamaa alipataje nafas ya kuwa mtangazaj na sauti yake hyo mbaya isiyosikika vzur kumbe mpaka anapata madili ya uMC