SAM THE MAN Brighton lead Aston Villa in £12m transfer chase for Tanzania striker Mbwana Samatta

mi nimemuunga mkono maamuzi yake hakuna sehemu nimemuamulia mkuu
Hata mimi atakachoamua sina shida maana hata wakati anaamua kujiunga na Genk au ile ya DRC sikushiriki yeye mtu mzima miaka 27 anajua anachofanya
 
Maamuzi yake ndo yanayoweza kumfanya asonge mbele zaidi au apotee, inabidi apate washauri wazuri kwenye hili, kwa maana kuondoka kwake Genk inaweza pia kumletea majuto huko mbeleni
Akienda England ajochunge sana na kuongea na waandishi wa habari wa bongo atajiangusha. Hakuna wambeya kama wainvereza
 
Manufaa ya kuendelea kucheza Genk ni kua tu atacheza UEFA kuliko Aston Villa au Brighton
 
Aston villa washamsainisha huyo..
 
Aston villa washamsainisha huyo..View attachment 1126662
 
Umri Umri Umri huu ndiyo muda wa kupiga pesa
 
kwa maisha nje ya mpira aende EPL ila kama ni mpira ni bora akacheze la liga kwnza then bdae nd EPL n ligi zingine zifate..
 
Bila shaka wachangiaji mna watoto, wapelekeni viwanjani wacheze mpira baadae mta waambia wakacheze wapi. Wabongo noma sana, watu mnatoa miongozo kama Samatta mli mlea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…