Hata mimi atakachoamua sina shida maana hata wakati anaamua kujiunga na Genk au ile ya DRC sikushiriki yeye mtu mzima miaka 27 anajua anachofanyami nimemuunga mkono maamuzi yake hakuna sehemu nimemuamulia mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi atakachoamua sina shida maana hata wakati anaamua kujiunga na Genk au ile ya DRC sikushiriki yeye mtu mzima miaka 27 anajua anachofanyami nimemuunga mkono maamuzi yake hakuna sehemu nimemuamulia mkuu
Wewe unamualiaje maana naona watu mnamualia
Akienda England ajochunge sana na kuongea na waandishi wa habari wa bongo atajiangusha. Hakuna wambeya kama wainverezaMaamuzi yake ndo yanayoweza kumfanya asonge mbele zaidi au apotee, inabidi apate washauri wazuri kwenye hili, kwa maana kuondoka kwake Genk inaweza pia kumletea majuto huko mbeleni
Manufaa ya kuendelea kucheza Genk ni kua tu atacheza UEFA kuliko Aston Villa au BrightonTimu ndogo inashiriki ligi kuu?
Kua makini ndugu huu ndio mda mwafaka wa Samatta kutimkia ligi kumbwa kama Epl alafu kumbuka Age nayo aisimami sioni manufaa ya kuendelea kucheza Genk namshauri akatafute changamoto mahali pengine kwasababu sizani kama hapo Genk atapata mafanikio zaidi ya hayo aliyo yapata huko Uefa wanapokwenda watakomea makundi tu
Pili tambua hata hao Genk wanaitaji pesa sasa hawatokubali Samatte aje aondoke bure msimu ujao
Aston villa washamsainisha huyo..BRIGHTON head a queue of Premier League clubs interested in signing Genk striker Mbwana Samatta.
The Seagulls, newly-promoted Aston Villa, Leicester, Watford and Burnley are all eyeing up the £12million-rated Tanzania international.
And Samatta, 26, is understood to be keen to move to England after an outstanding season in Belgium’s top flight.
He scored 23 goals to help Genk lift the title and also won the Ebony Shoe - an award given to Belgium’s best player of African descent.
The gong has previously been picked up by Romelu Lukaku, Vincent Kompany and Michy Batshuayi.
Samatta will lead the line for Tanzania at the African Nations Cup later this month - the first time his country has qualified for the event since 1980.
But after the tournament has finished, he hopes to leave Genk, who he joined in January 2016 from Congo club TP Mazembe, and come to the Premier League.
Brighton have been monitoring Samatta for some time and ex-boss Chris Hughton was a big fan, while new chief Graham Potter also rates the forward.
But they face competition from a number of their top-flight rivals, as well as clubs on the Continent, including Roma and Lyon.
![]()
Brighton lead Aston Villa in £12m chase for striker Mbwana Samatta
BRIGHTON head a queue of Premier League clubs interested in signing Genk striker Mbwana Samatta. The Seagulls, newly-promoted Aston Villa, Leicester, Watford and Burnley are all eyeing up the £12mi…www.thesun.co.uk
Aston villa washamsainisha huyo..View attachment 1126662BRIGHTON head a queue of Premier League clubs interested in signing Genk striker Mbwana Samatta.
The Seagulls, newly-promoted Aston Villa, Leicester, Watford and Burnley are all eyeing up the £12million-rated Tanzania international.
And Samatta, 26, is understood to be keen to move to England after an outstanding season in Belgium’s top flight.
He scored 23 goals to help Genk lift the title and also won the Ebony Shoe - an award given to Belgium’s best player of African descent.
The gong has previously been picked up by Romelu Lukaku, Vincent Kompany and Michy Batshuayi.
Samatta will lead the line for Tanzania at the African Nations Cup later this month - the first time his country has qualified for the event since 1980.
But after the tournament has finished, he hopes to leave Genk, who he joined in January 2016 from Congo club TP Mazembe, and come to the Premier League.
Brighton have been monitoring Samatta for some time and ex-boss Chris Hughton was a big fan, while new chief Graham Potter also rates the forward.
But they face competition from a number of their top-flight rivals, as well as clubs on the Continent, including Roma and Lyon.
![]()
Brighton lead Aston Villa in £12m chase for striker Mbwana Samatta
BRIGHTON head a queue of Premier League clubs interested in signing Genk striker Mbwana Samatta. The Seagulls, newly-promoted Aston Villa, Leicester, Watford and Burnley are all eyeing up the £12mi…www.thesun.co.uk
Umri Umri Umri huu ndiyo muda wa kupiga pesaMimi naona hasiwe na haraka, ameshafinikiwa kucheza EUFA acha acheze maana hapo ndio kioo cha kuonwa na timu nyingi, kama ni usajili basi asubiri dirisha dogo atapata timu za kutosha lakini kwanza amalize kile amekifanya mpaka timu yake inacheza EUFA. wachezaji wengi wanatamani kucheza ligi hiyo yeye kwa nini aende kitimu kidogo kama hicho