Natokea Kanda Maalum
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 749
- 1,310
Karibu muungwana unakaribishwa kwa mikono miwiliNimekuwa shabiki mkubwa wa alikiba Kwa kipindi kirefu ila Kwa huu ulofa anao ufanya sasa sina budi kuomba rasmi kujiunga team wasafi
Lakin pia nitumie fursa hii kumuomba radhi CEO wa wasafi Ndugu Naseeb Abdul Kwa kumchukia bila sababu huku nikiaminishwa na yule lofa anayejiita mfalme
Nimefatilia interview ya diamond Jana clouds 360 na nikaona nia yake ya dhati kumaliza sintofahamu baina yake na Ali Saleh
Nilichoshwa na posts za kibakuli baadae instagram hapo ndipo niliposema ni ujinga wa kiwango cha PHD kuendelea kuwa shabiki wa huyu jamaa
Diamond katumia akili ya biashara, kumvuta Kiba ili aweze kumsainisha mikataba yake ya wasafi. Com. Ili nyimbo za kiba nazo ziwemo kwenye wasafi. Mond kaangalia faida zaid ndo maana akataka hako kabifu kazime ili malengo yake yatimie.Nimekuwa shabiki mkubwa wa alikiba Kwa kipindi kirefu ila Kwa huu ulofa anao ufanya sasa sina budi kuomba rasmi kujiunga team wasafi
Lakin pia nitumie fursa hii kumuomba radhi CEO wa wasafi Ndugu Naseeb Abdul Kwa kumchukia bila sababu huku nikiaminishwa na yule lofa anayejiita mfalme
Nimefatilia interview ya diamond Jana clouds 360 na nikaona nia yake ya dhati kumaliza sintofahamu baina yake na Ali Saleh
Nilichoshwa na posts za kibakuli baadae instagram hapo ndipo niliposema ni ujinga wa kiwango cha PHD kuendelea kuwa shabiki wa huyu jamaa
Asante sana mkuuKaribu muungwana unakaribishwa kwa mikono miwili
Kwani unakadi ya team kiba au umekuja kujikosha tuAsante sana mkuu
Naamini nimefanya maamuzi sahihi
Kafie mbaliDiamond kuna ujinga aliongea kwenye hafla ya Makonda(Daud Bashite).
Sintokaa nimsapoti tena yeye wala wasanii wa WASAFI, huyu mpuuzi tulikuwa tunamsapoti, lakini yeye hatusapoti wananchi ila anaangalia maslahi yake binafsi sio ya wananchi walio wengi!
Kwanza Msanii anapaswa kuwa mpatanishi sio mchonganishi!
Diamond kafie mbali!
Mkuu, Vile vi interviews hua vinaandaliwa kwa ufundi na ustadi mkubwa. Hua havi reflect Ukweli wowote ule katika real world.Nimekuwa shabiki mkubwa wa alikiba Kwa kipindi kirefu ila Kwa huu ulofa anao ufanya sasa sina budi kuomba rasmi kujiunga team wasafi
Lakin pia nitumie fursa hii kumuomba radhi CEO wa wasafi Ndugu Naseeb Abdul Kwa kumchukia bila sababu huku nikiaminishwa na yule lofa anayejiita mfalme
Nimefatilia interview ya diamond Jana clouds 360 na nikaona nia yake ya dhati kumaliza sintofahamu baina yake na Ali Saleh
Nilichoshwa na posts za kibakuli baadae instagram hapo ndipo niliposema ni ujinga wa kiwango cha PHD kuendelea kuwa shabiki wa huyu jamaa
Labda kuna Ali Kiba mwingine huko kwao Tandale sio yule wa Kariakoo.Diamond katumia akili ya biashara, kumvuta Kiba ili aweze kumsainisha mikataba yake ya wasafi. Com. Ili nyimbo za kiba nazo ziwemo kwenye wasafi. Mond kaangalia faida zaid ndo maana akataka hako kabifu kazime ili malengo yake yatimie.
Diamond akakujua??Nimekuwa shabiki mkubwa wa alikiba Kwa kipindi kirefu ila Kwa huu ulofa anao ufanya sasa sina budi kuomba rasmi kujiunga team wasafi
Lakin pia nitumie fursa hii kumuomba radhi CEO wa wasafi Ndugu Naseeb Abdul Kwa kumchukia bila sababu huku nikiaminishwa na yule lofa anayejiita mfalme
Nimefatilia interview ya diamond Jana clouds 360 na nikaona nia yake ya dhati kumaliza sintofahamu baina yake na Ali Saleh
Nilichoshwa na posts za kibakuli baadae instagram hapo ndipo niliposema ni ujinga wa kiwango cha PHD kuendelea kuwa shabiki wa huyu jamaa
Na mm tokea aseme viewz zake ni real cyo za robot apo ndo nilipogundua kuwa na kichwa kikubwa cyo wingi wa upeo....Yaani Diamond toka aseme upumbavu kwenye video clip alitamka maneno haya "WAKIPOST TEMBO SI TUNAPOST SHOW" kama unaakili ambayo haina FA FA FA FA ZA BASHITE hupati tabu kujua walimlenga nani., kumbuka Ally Kiba ndiye alikuwa na Wild Aid programme alikuwa akipost sana wanyama Tembo kuwalinda dhidi ya ujangili. Sasa Diamond kulikuwa na haja gani sasa. Sina hamu na Diamond mafanikio yanawapa viburi
Hata alikiba naye aliwahi kupost kwa"nimemuona Simba origin" nadhani hapo alikuwa anamdhihaki mwezie anayetumia jina la SimbaYaani Diamond toka aseme upumbavu kwenye video clip alitamka maneno haya "WAKIPOST TEMBO SI TUNAPOST SHOW" kama unaakili ambayo haina FA FA FA FA ZA BASHITE hupati tabu kujua walimlenga nani., kumbuka Ally Kiba ndiye alikuwa na Wild Aid programme alikuwa akipost sana wanyama Tembo kuwalinda dhidi ya ujangili. Sasa Diamond kulikuwa na haja gani sasa. Sina hamu na Diamond mafanikio yanawapa viburi
Ambayo itakua mbaya kwa kiba kibiashara,maana jina la kiba linakuzwa na beef na diamond.Diamond katumia akili ya biashara, kumvuta Kiba ili aweze kumsainisha mikataba yake ya wasafi. Com. Ili nyimbo za kiba nazo ziwemo kwenye wasafi. Mond kaangalia faida zaid ndo maana akataka hako kabifu kazime ili malengo yake yatimie.
kama huwajui kibakuli na mwenzie mond, hao akina Mbaraka wameingiaje kati post hii? au Unafikiri humu jf wote ni Bashite?Natamani niwajue hao Diamond na Kiba ambao vijana mnatoleana mapovu namna hii...
Mi nawajua kina Mbaraka Mwinshehe na Marijani Rajabu...
Amaa kweli umri kisomo...