salazar
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 681
- 389
Yaani alichoongea mi mwenyewe namuona mbugila miaka buku kumbe ndo maana hata kiba anahisi jamaa mnafikiDiamond kuna ujinga aliongea kwenye hafla ya Makonda(Daud Bashite).
Sintokaa nimsapoti tena yeye wala wasanii wa WASAFI, huyu mpuuzi tulikuwa tunamsapoti, lakini yeye hatusapoti wananchi ila anaangalia maslahi yake binafsi sio ya wananchi walio wengi!
Kwanza Msanii anapaswa kuwa mpatanishi sio mchonganishi!
Diamond kafie mbali!