Samahan sana diamond na WCB Kwa ujumla

Samahan sana diamond na WCB Kwa ujumla

Diamond kuna ujinga aliongea kwenye hafla ya Makonda(Daud Bashite).

Sintokaa nimsapoti tena yeye wala wasanii wa WASAFI, huyu mpuuzi tulikuwa tunamsapoti, lakini yeye hatusapoti wananchi ila anaangalia maslahi yake binafsi sio ya wananchi walio wengi!

Kwanza Msanii anapaswa kuwa mpatanishi sio mchonganishi!

Diamond kafie mbali!
Yaani alichoongea mi mwenyewe namuona mbugila miaka buku kumbe ndo maana hata kiba anahisi jamaa mnafiki
 
Diamond kuna ujinga aliongea kwenye hafla ya Makonda(Daud Bashite).

Sintokaa nimsapoti tena yeye wala wasanii wa WASAFI, huyu mpuuzi tulikuwa tunamsapoti, lakini yeye hatusapoti wananchi ila anaangalia maslahi yake binafsi sio ya wananchi walio wengi!

Kwanza Msanii anapaswa kuwa mpatanishi sio mchonganishi!

Diamond kafie mbali!
Vipi ulinyimwa mwaliko halafu mbona kuhangaika huwezi kuzuia mafuriko na mkono sepa lakini hautasepa na kijiji ebu jaribu kujiuliza unafanya kazi au biashara kwaajili ya mtaa wako (sadist) ficha ujinga
 
yule ni mfanya biashara lazima aangalie maslah yake wew unataka aangalie maslahi ya wengi kwani ni mbunge wako? acha chuki binafsi
 
Diamond kuna ujinga aliongea kwenye hafla ya Makonda(Daud Bashite).

Sintokaa nimsapoti tena yeye wala wasanii wa WASAFI, huyu mpuuzi tulikuwa tunamsapoti, lakini yeye hatusapoti wananchi ila anaangalia maslahi yake binafsi sio ya wananchi walio wengi!

Kwanza Msanii anapaswa kuwa mpatanishi sio mchonganishi!

Diamond kafie mbali!
Diamond si kibendera kamwe
 
Nimekuwa shabiki mkubwa wa alikiba Kwa kipindi kirefu ila Kwa huu ulofa anao ufanya sasa sina budi kuomba rasmi kujiunga team wasafi

Lakin pia nitumie fursa hii kumuomba radhi CEO wa wasafi Ndugu Naseeb Abdul Kwa kumchukia bila sababu huku nikiaminishwa na yule lofa anayejiita mfalme

Nimefatilia interview ya diamond Jana clouds 360 na nikaona nia yake ya dhati kumaliza sintofahamu baina yake na Ali Saleh

Nilichoshwa na posts za kibakuli baadae instagram hapo ndipo niliposema ni ujinga wa kiwango cha PHD kuendelea kuwa shabiki wa huyu jamaa
Jisikie home muungwana[emoji441][emoji573][emoji592][emoji598][emoji474][emoji383][emoji385][emoji384][emoji539][emoji537]haina kufeli nadhani umeelewa lugha ya emoj hizo
 
Yaani Diamond toka aseme upumbavu kwenye video clip alitamka maneno haya "WAKIPOST TEMBO SI TUNAPOST SHOW" kama unaakili ambayo haina FA FA FA FA ZA BASHITE hupati tabu kujua walimlenga nani., kumbuka Ally Kiba ndiye alikuwa na Wild Aid programme alikuwa akipost sana wanyama Tembo kuwalinda dhidi ya ujangili. Sasa Diamond kulikuwa na haja gani sasa. Sina hamu na Diamond mafanikio yanawapa viburi
Mwiba huo
 
Vipi ulinyimwa mwaliko halafu mbona kuhangaika huwezi kuzuia mafuriko na mkono sepa lakini hautasepa na kijiji ebu jaribu kujiuliza unafanya kazi au biashara kwaajili ya mtaa wako (sadist) ficha ujinga
Kwahiyo Pale Domo alikuwa anafanya kazi gani?
Unafiki au? Ndio maana AliKiba hataki mazoea na huyu mwanahizaya.
 
nilikuwa nampenda sana dai ila niliposkiliza interview yake dhidi ya ommydimpoz nilimdhalau sana ukilinganisha na mwenzake alivyosema....dai anajua nguvu ya media hakupaswa kuongea maneno ya kanga...
 
Ambayo itakua mbaya kwa kiba kibiashara,maana jina la kiba linakuzwa na beef na diamond.
King Kiba ni kwa ajili ya watu matured...Diamond vitoto vya shule na wanyoa viduku.... Wasafi.com mchukueni hamorapa
 
nilikuwa nampenda sana dai ila niliposkiliza interview yake dhidi ya ommydimpoz nilimdhalau sana ukilinganisha na mwenzake alivyosema....dai anajua nguvu ya media hakupaswa kuongea maneno ya kanga...
Toka umdharau alishapungukiwa kitu kumchukia mondi ni sawa kujiletea.ugonjwa wa moyo bure
 
Back
Top Bottom