CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
Baada ya kukosa mshahara "kwenye mazingira ya kutatanisha' umefuatilia wee! Hadi basi mwishowe ukaamua kuaply plan b (wengine walikopa)., ukitegemea salary mwezi huu itaflow!
sasa kwa kuwa serikali yetu (inaongozwa na ccm) mwisho wa mwezi unajongea taratibu kuelekea benk (midomo imekaukaa! Halafu umenuna) unaenda kwa cashier unamtajia ac na. Anakuuliza tu : "wewe ni mwalimu mpya??" kisha anakugeuzia secreen "SALIO LAKO NI 0.00TSH