samahani huu ni utani tu!!...kwa walimu waliokosa mshahara wa april..!

samahani huu ni utani tu!!...kwa walimu waliokosa mshahara wa april..!

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Baada ya kukosa mshahara "kwenye mazingira ya kutatanisha' umefuatilia wee! Hadi basi mwishowe ukaamua kuaply plan b (wengine walikopa)., ukitegemea salary mwezi huu itaflow!
sasa kwa kuwa serikali yetu (inaongozwa na ccm) mwisho wa mwezi unajongea taratibu kuelekea benk (midomo imekaukaa! Halafu umenuna) unaenda kwa cashier unamtajia ac na. Anakuuliza tu : "wewe ni mwalimu mpya??" kisha anakugeuzia secreen "SALIO LAKO NI 0.00TSH
 
Haiwezi ikawa 0.00Tsh.
Kwani pesa uliyo fungulia account imeenda wapi?

Any way kwa hapo ni utata............
 
Unabeba screen unaondoka nayo tu. Unaenda kuipiga bei mbele ya safari
 
Back
Top Bottom