Samahani JF, Askofu Bagonza hapa ana maana gani? Nini kimetokea kwa Salum Mwalimu?

Samahani JF, Askofu Bagonza hapa ana maana gani? Nini kimetokea kwa Salum Mwalimu?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Picha inaeleza swali langu.
20260222_094000.jpg


===

WAJALUO MMESHINDIKANA

Wajaluo hawajui Kwaresima wala Ramadhani. Wanasema, “Rafiki yako anayekusindikiza kwenda kwa mchepuko wako, usimweke karibu na mkeo”.

Siendelei, tuna msiba.
1771743203956.png

1771743218134.png

Askofu Bagonza (Facebook) - Februari 20
 
Labda bwana alcohol alikuwa akienda pamoja na teacher kwa moza.halafu ticha akamzunguka bwana alcohol
 
Kuna nini huko wabenga.! Acheni code tuna haki ya kuelewa
 
Mbwa asiye jua mawindo, hata akisikia mavi ya binadamu lazima abweke.
Wengine huenda mbali kwa kuyalamba.
 
Hivi Salum angeshinda uraisi angekuwa ni raisi asiye na mke ? Au huyu ni mke wa pili
 
Kumechangamka, ila hizi codes ni ngumu sana,any clarification puliiiz
 
Back
Top Bottom