Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

hiv ungekula warembo wangapi hapo dar kwa bajet hio?.
unawezaje kuita mzigo wa mbali hata sio mke wako, nahisi unafeli mahari
 
Mwanz to dar akafika saa tatu usikuu???...kweli wote waongo na msitufanye sisi matahira
 
Mamaee umenifanya nicheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa
 
Ndo ushajifunza hivyo
 
Mkuu umechomoa betri mazima
 
Sasa mkuu unavyosema kuwa demu ni mfupi amekomaa sura kweli hivi wakat penzi ndio limekolea kweli kweli hamjawai kweli hata kutumiana picha kwenye whatsap muonane vizur hapa mbona umeniacha solemba mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…