Kama mmoja wapo wa wachangiaji wa huu uzi waliotoa comments zisizo wafurahisha wengi hasa wanawake, naomba nichukue nafasi hii kuwaomba radhi wale wote niliowaumiza kihisia kwa maandishi yangu.
Kwanza maneno maneno mengi niliyoandika hapa sio ya kweli hata kidogo!
Si kweli kuwa wadada wa JF ni wabaya, wengi kwanza siwajui, tangu nimejiunga JF wanachama wa kike humu niliowahi kukutana nao live hawazidi 5! Na karibu wote ni wazuri tu yaani ule uzuri wa kawaida.
Naombeni mfahamu sina chuki na jinsia yoyote na msichukulie serious hata kidogo maneno yangu mtajipa unnecessary headache Bure! Sometimes tunajikuta tunaandika tu kunayoandikaga kutokana na tunayopitia.
Narudia tena yeyote niliyemkwaza naomba asemehe @Rebecca83,
Unforgetable,
Dinazarde,
luckyline na wengineo ulioumia kihisia.
Na hili kuonesha kuwa nina maanisha ninachokisema nimefuta comments zangu zoote nilizochangia uzi huu.
Peace out ladies [emoji3577][emoji3577]