Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,982
Wa kwanza hapa
Amtaje nimsaidie kumuita tuu haina shida mbonaa😂😂Hahahahah
Ukute anataka kumtag mchomoa betri
Ya PM yabaki PM please
Haswaa hakuna jipya chini ya juaNa Ya AM Yabaki AM Kwa Mtogole
Asante sana dear SakayoPole sana kwa unayopitia mkuu!
Ukiumia usimuumize mwenzako, unaweza kumtumia mwenzako kupata amani uloipoteza!
Binadamu tunakosea, tuna mapungufu pia na huwa tunajifunza kutokana na hao hao binadamu!
Nakupongeza kwa kuona ulikosea japo sijasoma comments zako, ila kitendo cha kuomba radhi ni ukomavu mnoo!!!
Hongera sana!
KaribuAsante sana dear Sakayo
NashukuruNa huu unaitwa Uungwanaa
Mimi nilikuwa naamini kuwa ulikuwa unatania tu kamanda na sikudhani kama kuna mtu aliyekuwa anakuchukulia siriazi. Yote kwa yote umefanya vyema kuwaomba msamaha unaohisi kuwa umewakwaza. Blessings bro [emoji109][emoji109][emoji109]Kama mmoja wapo wa wachangiaji wa huu uzi waliotoa comments zisizo wafurahisha wengi hasa wanawake, naomba nichukue nafasi hii kuwaomba radhi wale wote niliowaumiza kihisia kwa maandishi yangu.
Kwanza maneno maneno mengi niliyoandika hapa sio ya kweli hata kidogo!
Si kweli kuwa wadada wa JF ni wabaya, wengi kwanza siwajui, tangu nimejiunga JF wanachama wa kike humu niliowahi kukutana nao live hawazidi 5! Na karibu wote ni wazuri tu yaani ule uzuri wa kawaida.
Naombeni mfahamu sina chuki na jinsia yoyote na msichukulie serious hata kidogo maneno yangu mtajipa unnecessary headache Bure! Sometimes tunajikuta tunaandika tu kunayoandikaga kutokana na tunayopitia.
Narudia tena yeyote niliyemkwaza naomba asemehe @Rebecca83, Unforgetable, Dinazarde, luckyline na wengineo ulioumia kihisia.
Na hili kuonesha kuwa nina maanisha ninachokisema nimefuta comments zangu zoote nilizochangia uzi huu.
Peace out ladies [emoji3577][emoji3577]
Sometime ukiingia JF unahisi unaota.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnagongana sana eeeh?
Afu kikinuka ndo mnajifanya kutujulisha.
*******.
😂😂😂😂😂Twende tukapande Zuberi kwa 7800.yaani nimecheka kifala sana
Sitaki usumbufu, ukiamka unajilaza mwenyewe.Nimeamka..Njoo uilaze..