Kwanza Yale mambo ya siri ndo maana kuna Pm kuliwa au kula si sifa etiii...watu wengine hovyooo sanaZamani jf haikuwahi kufanana kama hivi. Pamoja na kwamba tulitafunana sana, na haya pia mitongozo ilikuwa haikauki kwenye PM zao...
Hhaha kama yule aliekuwa na ID tatu ndani ya uzi mmoja, anacomment, anakuja anajiqoute mwenyewe ili mradi atimue vumbi JF.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaaa jf noma Sana. Kuna mpaka watu wanaotimua vumbi kumbe?
Hahaaa, atamtoa nini...., atolewe tu siyo Kwa kumuachia elfu saba mia nane mtoto Wa mwanaume mwenziee[emoji3] [emoji3] mambo std 7 mwenzangu!Aiseeehh nimeupitia uzi wa baharia nimemuelewa sana...mimi kukutana na mtu nimekutana ane mtanadaoni huwa inachukua muda sana...halafu tatizo mkishindwa huko mnaleta mambo yenu yote humu Jf na alieanzisha kuleta mambo hewani ni demu...bahari nimekuelewa sema akichukua mkoba wa uganga ataanza na wewe kukutoa makende
Kwa hiyo ulivyomtumia tu ukambwagaKuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.
WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.
SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na tukakubariana kwamba atafikia Guest na atakaa siku mbili na baadae ataenda kwa mjomba wake Sinza.
SIKU YA TAREHE 20-8-2019.
Ni siku ambayo dada huyo alipanda basi la ZUBERI na kuja Dar kwa lengo la kuonana na Mimi. Na tukaahidiana kwamba akifika dar tu niendee nikampokee Ubungo Stand, na akanisistizia nichukue Lodge mapema na nisisahau zana (kondom). Nikafanywa kama nilivyoagizwa nikachukua ATLATIS LODGE iliyopo kinondono na nilichukua chumba namba 116.
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.
TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie tatizo la miguu.
Napia katika mazungumzo yake, aliniomba nimshauri kama achukue mkoba wa uganga au aache. Kwani babu yake anamlazimisha ampe mkoba wa uganga ila yeye anasitasita. Nikaona haya makubwa nikapanga namna ya kumkimbia.
NAMNA NILIVYOMKIMBIA.
Niliweka alarm katika simu ya saa kumi na moja alfajili. Ilipoita tu nikajifanya nimepigiwa simu ya muhimu inayohusu msiba wa baba mdogo hivyo natakiwa niende haraka. Alilazimisha tuende wote nikamgomea. Nikamuachia elfu saba na mia nane (7800/=) nikasepa zangu mzima.
BAADA YA MIMI KUONDOKA.
Akawa ananipigia simu kuniomba nauli ili arudi Mwanza nikawa sipokei mwisho wa siku akaanza kunitumia sms za kunitukana nikawa sijibu.
Ila cha ajabu zaidi leo nimeona uzi wake humu Jf kaandika uongo na kaacha kuandika ukweli kuhusu tukio zima
Hivi umesharudi Mwanza au bado upo D
ar?
Muhuni tu huyo akafie mbali huko
I reserve my comment, siku zote huwa napenda kuweka akiba ya maneno[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]msameheni bure!
Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.
WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.
SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na tukakubariana kwamba atafikia Guest na atakaa siku mbili na baadae ataenda kwa mjomba wake Sinza.
SIKU YA TAREHE 20-8-2019.
Ni siku ambayo dada huyo alipanda basi la ZUBERI na kuja Dar kwa lengo la kuonana na Mimi. Na tukaahidiana kwamba akifika dar tu niendee nikampokee Ubungo Stand, na akanisistizia nichukue Lodge mapema na nisisahau zana (kondom). Nikafanywa kama nilivyoagizwa nikachukua ATLATIS LODGE iliyopo kinondono na nilichukua chumba namba 116.
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.
TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie tatizo la miguu.
Napia katika mazungumzo yake, aliniomba nimshauri kama achukue mkoba wa uganga au aache. Kwani babu yake anamlazimisha ampe mkoba wa uganga ila yeye anasitasita. Nikaona haya makubwa nikapanga namna ya kumkimbia.
NAMNA NILIVYOMKIMBIA.
Niliweka alarm katika simu ya saa kumi na moja alfajili. Ilipoita tu nikajifanya nimepigiwa simu ya muhimu inayohusu msiba wa baba mdogo hivyo natakiwa niende haraka. Alilazimisha tuende wote nikamgomea. Nikamuachia elfu saba na mia nane (7800/=) nikasepa zangu mzima.
BAADA YA MIMI KUONDOKA.
Akawa ananipigia simu kuniomba nauli ili arudi Mwanza nikawa sipokei mwisho wa siku akaanza kunitumia sms za kunitukana nikawa sijibu.
Ila cha ajabu zaidi leo nimeona uzi wake humu Jf kaandika uongo na kaacha kuandika ukweli kuhusu tukio zima
Hivi umesharudi Mwanza au bado upo D
ar?
Wait, huyu ndugu yako alichafua hali ya hewa? Sijaingia humu hata sijajua nini kinaendlea. Hebu nipe angalau kasamari naona tu Lizarazu anamwaga ombi la msamaha[emoji136][emoji136]
Huo ndo uhalisia. Hakuna bus lolote linalotoka mwanza na kuingia Dar saa tatu usiku.Mm nlipanda DAR LUX, tulitoka NYEGEZI saa 11.50 Alfajir tukaingia SHEKILANGO saa 7.45 usiku!
Labda alipitia sehemu anayoijua yeye kwanza.Huo ndo uhalisia. Hakuna bus lolote linalotoka mwanza na kuingia Dar saa tatu usiku.
Haha haya sawa mamaI reserve my comment, siku zote huwa napenda kuweka akiba ya maneno
Loh, basi ni muongo. Mi nawafaham km watano na wote ni visu.Ameshafuta comments zake zote alizomimina mapovu, ila aliandika kuwa amekutana na wanawake karibu 48 wa humu JF na wote ni wabaya hawatazamiki mara mbili yaani aliandika comments karibu tano zote za kusema jinsi gani wanawake wengi wa JF walivyo wabovu
Unataka ugundue nini kwa mfanoKastori kamenivutia, nasubiri part 3 kutoka upande wa pili[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].For The First Time In Forever!![emoji23][emoji23]
CC Saint anne Atoto cute b Khantwe[emoji1787][emoji1787]