Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

maelezo ya huyu kaka yana mkanganyiko ufuatao,ambao ni lazima atufafanulie
1.ina maana muda wote mnachati na huyo demu hukumuomba picha ili ujue alivyo?na kwamba ulishituka alivyokuja tu kumuona ni mfupi?
2.huyo demu mara ya kwanza tu mnakutana na anaanza kukuelezea full sori ya kwao na kuhusu uganga wa kwao?
3.ulimkimbia kwa sababu ni mfupi au suala la uganga?
 
Mm nlipanda DAR LUX, tulitoka NYEGEZI saa 11.50 Alfajir tukaingia SHEKILANGO saa 7.45 usiku!
Binti alitoka Mwanza kwa kupanda bus la Zuberi na akafika dar na mkakutana mida ya saa tatu usiku. (Mwanza-Dar)Really?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua mkibahatika kunifahamu mnanichambua in and out. Ila na hakika mtanifungulia njia maana najua wengi wenu humu ndani njaa zinawasumbua (sio wewe lakni)
 
ni porojo bwana,mkutane first time akuambie anataka kupewa uganga???it doestn't make sense to me 😕
 
yaani hizi I'd fake inawakosesha watu amani. bora ziunganishwe tu.
 
Punguza ukali wa maneno hyo n kazi ya uumbaj wa Mungu.
Uzi upi huo nikaucheki [emoji2][emoji2][emoji2]Kuna mmoja aliazishiwa uzi na Da Jane Jamanii picha ilipo letwa nilizimia jamaa mwembamba mfano wa moja macho sasa kama kamwagiwa damu.
 
Back
Top Bottom