Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,581
Mtu mmoja anijibu hili swali
Kuna mdada yeyote wa jf aliyewahi kujisifu kwamba yeye ni mzuri
Naomba mnionyeshe huyo mdada
Na comment yake na thread pia
Wakikujibu nami uniite
Mtu mmoja anijibu hili swali
Kuna mdada yeyote wa jf aliyewahi kujisifu kwamba yeye ni mzuri
Naomba mnionyeshe huyo mdada
Na comment yake na thread pia
Id yako inaniumiza sana niliwahikuwa kwenye mahusiano na mzambia mmoja mwenye jina kama Id yako kila niionapo nakumbuka mbali walahJamani hii wikii nalogout jf [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kila nikiona hiyo avatar napata hamu ya kukugegedaHalafu ukute ni Mtu mmoja mwenye ID nane anaandika vitu na kujijibu
Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
Bonge la furushiKiki.
Furushi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu ukute ni Mtu mmoja mwenye ID nane anaandika vitu na kujijibu
Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
Hahahaha, usijari ,ila kwann wakuanike sasaSiku nikianikwa humu unitetee mzee wangu.
Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.
WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.
SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na tukakubariana kwamba atafikia Guest na atakaa siku mbili na baadae ataenda kwa mjomba wake Sinza.
SIKU YA TAREHE 20-8-2019.
Ni siku ambayo dada huyo alipanda basi la ZUBERI na kuja Dar kwa lengo la kuonana na Mimi. Na tukaahidiana kwamba akifika dar tu niendee nikampokee Ubungo Stand, na akanisistizia nichukue Lodge mapema na nisisahau zana (kondom). Nikafanywa kama nilivyoagizwa nikachukua ATLATIS LODGE iliyopo kinondono na nilichukua chumba namba 116.
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.
TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie tatizo la miguu.
Napia katika mazungumzo yake, aliniomba nimshauri kama achukue mkoba wa uganga au aache. Kwani babu yake anamlazimisha ampe mkoba wa uganga ila yeye anasitasita. Nikaona haya makubwa nikapanga namna ya kumkimbia.
NAMNA NILIVYOMKIMBIA.
Niliweka alarm katika simu ya saa kumi na moja alfajili. Ilipoita tu nikajifanya nimepigiwa simu ya muhimu inayohusu msiba wa baba mdogo hivyo natakiwa niende haraka. Alilazimisha tuende wote nikamgomea. Nikamuachia elfu saba na mia nane (7800/=) nikasepa zangu mzima.
BAADA YA MIMI KUONDOKA.
Akawa ananipigia simu kuniomba nauli ili arudi Mwanza nikawa sipokei mwisho wa siku akaanza kunitumia sms za kunitukana nikawa sijibu.
ILA CHA AJABU ZAIDI LEO NIMEONA UZI WAKE HUMU JF KAANDIKA UONGO NA KAACHA KUANDIKA UKWELI KUHUSU TUKIO ZIMA.
Hivi umesharudi Mwanza au bado upo Dar?
Sasa tufanyeje aweke namba tu [emoji14]
Picha tafadhaliKuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.
WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.
SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na tukakubariana kwamba atafikia Guest na atakaa siku mbili na baadae ataenda kwa mjomba wake Sinza.
SIKU YA TAREHE 20-8-2019.
Ni siku ambayo dada huyo alipanda basi la ZUBERI na kuja Dar kwa lengo la kuonana na Mimi. Na tukaahidiana kwamba akifika dar tu niendee nikampokee Ubungo Stand, na akanisistizia nichukue Lodge mapema na nisisahau zana (kondom). Nikafanywa kama nilivyoagizwa nikachukua ATLATIS LODGE iliyopo kinondono na nilichukua chumba namba 116.
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.
TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie tatizo la miguu.
Napia katika mazungumzo yake, aliniomba nimshauri kama achukue mkoba wa uganga au aache. Kwani babu yake anamlazimisha ampe mkoba wa uganga ila yeye anasitasita. Nikaona haya makubwa nikapanga namna ya kumkimbia.
NAMNA NILIVYOMKIMBIA.
Niliweka alarm katika simu ya saa kumi na moja alfajili. Ilipoita tu nikajifanya nimepigiwa simu ya muhimu inayohusu msiba wa baba mdogo hivyo natakiwa niende haraka. Alilazimisha tuende wote nikamgomea. Nikamuachia elfu saba na mia nane (7800/=) nikasepa zangu mzima.
BAADA YA MIMI KUONDOKA.
Akawa ananipigia simu kuniomba nauli ili arudi Mwanza nikawa sipokei mwisho wa siku akaanza kunitumia sms za kunitukana nikawa sijibu.
ILA CHA AJABU ZAIDI LEO NIMEONA UZI WAKE HUMU JF KAANDIKA UONGO NA KAACHA KUANDIKA UKWELI KUHUSU TUKIO ZIMA.
Hivi umesharudi Mwanza au bado upo Dar?
Yalah jamani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu ishu yako kama yangu, ukiangalia avatar basi unajua kuwa utakutana mtoto mkali au basi anafanania kwa mbali, afike sasa , duh ni wafupi hao afu wengi mikomao na matipwatipwa
nilijua tu katafunwaKuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.
WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.
SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na tukakubariana kwamba atafikia Guest na atakaa siku mbili na baadae ataenda kwa mjomba wake Sinza.
SIKU YA TAREHE 20-8-2019.
Ni siku ambayo dada huyo alipanda basi la ZUBERI na kuja Dar kwa lengo la kuonana na Mimi. Na tukaahidiana kwamba akifika dar tu niendee nikampokee Ubungo Stand, na akanisistizia nichukue Lodge mapema na nisisahau zana (kondom). Nikafanywa kama nilivyoagizwa nikachukua ATLATIS LODGE iliyopo kinondono na nilichukua chumba namba 116.
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.
TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie tatizo la miguu.
Napia katika mazungumzo yake, aliniomba nimshauri kama achukue mkoba wa uganga au aache. Kwani babu yake anamlazimisha ampe mkoba wa uganga ila yeye anasitasita. Nikaona haya makubwa nikapanga namna ya kumkimbia.
NAMNA NILIVYOMKIMBIA.
Niliweka alarm katika simu ya saa kumi na moja alfajili. Ilipoita tu nikajifanya nimepigiwa simu ya muhimu inayohusu msiba wa baba mdogo hivyo natakiwa niende haraka. Alilazimisha tuende wote nikamgomea. Nikamuachia elfu saba na mia nane (7800/=) nikasepa zangu mzima.
BAADA YA MIMI KUONDOKA.
Akawa ananipigia simu kuniomba nauli ili arudi Mwanza nikawa sipokei mwisho wa siku akaanza kunitumia sms za kunitukana nikawa sijibu.
ILA CHA AJABU ZAIDI LEO NIMEONA UZI WAKE HUMU JF KAANDIKA UONGO NA KAACHA KUANDIKA UKWELI KUHUSU TUKIO ZIMA.
Hivi umesharudi Mwanza au bado upo Dar?
Hiyo ni lugha ya picha imetumika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nimecheka sana Aweke tu namba wenye roho zetu tumrudshe mwanza wasijemuibia sweta lake bure [emoji16][emoji16]
Kwa hiyo hawa wanaoleta mada za kwenda kugegedwa kwako wana staha na ndio wanatakiwa kuwa humu jf?Jf imevamiwa na vijana wa instagram hawana staha
Hahahaha alinijibu kumbe namba yangu alikuwa bado ajadelete. Amebaki kuwa best yangu kwambaliiiiii. Mungu saidia picha Zangu awe alizifuta maana member wahumu kama vinyonga hawakawii kubadilika nakukulipua[emoji24] [emoji24] [emoji24]Yule mdada hajakujibu mpaka leo
Eti unafikiria nani anazo picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dont worry, you are safe!
Nawaza kuwa Verified Member muda wowote kuanzia leo.
Black is beautiful mama!! Wakijichubua shauri yao!
Lakin ukweli ni kuwa nyie mademu wa humu JF ni wabovu sana yaani hamuangaliki, mpo mpo tu kama vifaru, naongea hivi nimeshakutana na baadhi yenu kama 48 hivi.. Yaani wote hakuna mwenye afadhari wabaya kweli, wote waliishia kuchafua macho yangu tu... Maana macho yangu yameshazoea kuangalia vitu vizuri lakini siku hiyo yakakutana na vizibo vya JF hadi ikanibidi niende kunawa uso baada ya kutoka pale! Maana sio kwa sura zile utafikiri ni watoto wa bibi fisi[emoji855][emoji855][emoji855]